Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inasikitisha sana..... Eti watu binafsi wamejitolea kuendelea kuopoa maiti za waliozama na Mv SKAGIT huko Z'Bar (japo Serikali imesusa kuendelea na zoezi hilo)... na leo zimepatikana maiti...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
:eek2: Wajameni vp kuhusu Filamu ya Kova Vs.Sugu? :A S-baby:
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja wa vijana wa taifa hili ambaye kwa hakika ndoto yangu ni kuona mabadiliko na demokrasia ya kweli inakuwepo kwenye taarifa hili. Pengine ninachokiona wengi wakiwemo viongozi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Saed Kubenea - Imechapwa 18 July 2012 DOKTA Steven Ulimboka bado anashikilia kuwa aliyemteka anafanya kazi ikulu, MwanaHALISI limeelezwa. Taarifa kutoka ubavuni mwa kitanda chake hospitalini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa kamanda John Heche ameanza ziara ya siku tisa katika Mikoa ya Morogoro na Rukwa/Katavi, ukiwa ni muendelezo wa operation M4C. Ziara hiyo imeanza jana mkoani Morogoro...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
SUNDAY, JULY 22, 2012 Zaidi ya sh milioni 10 zimetengwa kwa ajili ya kufuturisha watu wenye kipato cha chini kwenye mwezi huu wa mfungo wa Ramadhani katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tumeahidiwa Daraja la aina yake. Tumeambiwa Mheshimiwa Pombe Makufuli analisimamia. Tunaamini Sera na Ilani za CCM zitatekelezwa kwenye hili, la si hivyo kutakuwa na Mshike mshike 2015 Kisota!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo kumefanyika mkutano wa hadhara wa CDM Igunga. Madhumuni ya mkutano huo ni kwa CDM kuwashukuru wananchi wa Igunga kwa hatua waliyofikia ya kubadirika na kukubaliana na mageuzi katika kupigania...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, naomba kuwatakia Ramadhani Njema wale wote watakaoshiriki ibada hii muhimu! Nasihi wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei ya vitu muhimu hasa vyakula ili...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Wadau wote wa JF,Salaam kwenu wote wanajamvi.Swali langu ni moja tu. Nimepata mshtuko mkubwa sana baada ya kubaini kwamba hakuna waziri wa fedha hata mmoja aliyerudi na hata kijisenti kimoja...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Sunday, July 22, 2012 MKUU wa mkoa wa Katavi, Dr Rajabu Rutengwe amewataka wawekezaji wanaokwenda kuwekeza katika sekta ya madini katika mkoa wa Katavi wawasiliane na ofisi za serikali mkoani...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Taharuki msibani! Baada ya kikundi cha Uamsho kuanza pilika pilika na Jeshi la polisi pale saa 11 jioni, Hadi sasa bado maeneo mengi visiwani Zanzibar hali imeendelea kuwa Tete kwa kuwa watu...
5 Reactions
67 Replies
6K Views
CCM ni sawa na donda ndugu,wajiandae kuondoka tumewachoka na UFISADI wa mali za taifa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama angekuwa mbunge toka chama chako,ungemshauri nini mwenyekiti wa chama chako taifa na wapiga kura wake?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kufahamu serikali imeweka utaratibu gani wa kupata vitambulisho vya uraia kwa watanzania walioko ughaibuni. Naona zoezi limeanza Dar (ila sina uhakika kama ni mikoa yote) na watu...
1 Reactions
0 Replies
884 Views
Hii ndiyo CCM! Huwa haishiwi propaganda chafu katika harakati zao za kutaka kuudhoofisha upinzani, ili kulinda kiti chake cha uongozi kisianguke (kisichukuliwe na upinzani). CCM wakati wote...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii ndiyo CCM! Huwa haishiwi propaganda chafu katika harakati zao za kutaka kuudhoofisha upinzani, ili kulinda kiti chake cha uongozi kisianguke (kisichukuliwe na upinzani). CCM wakati wote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Picha na Dail Nkoromo blog Trafiki ni Tanzania nzima! Askari wa kikosi hicho akimhoji kiaina jambo mwendesha pikipiki mjini Kigoma leo huku akipokea msosi. Picha hii hapo Juu inatoa taswira...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
DIWANI WA VIJIBWENI - KIGAMBONI ASUSIWA MKATANO BAADA YA KUKATAA KUULIZWA MASWALI Diwani wa kata ya vijibweni Suleiman Mathew ambaye aliwahi kuwa mchezaji wa yanga na Tukuyu star aliitisha...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Fri Jul 20, 2012 12:10pm GMT * East African natural gas reserves are over 250 tcf * Will make the region a top LNG exporter * Small companies lack capital for such big projects * Asian national...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom