Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na...
4 Reactions
163 Replies
12K Views
Nakumbuka tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikitolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo kuhusu kutaka kuhujumiwa ama na Chama tawala au Serikali, matamko yake yamekuwa yakitolewa na katibu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Monday, 23 July 2012 08:18 NI JOSHUA NASSARI WA CHADEMA, DEO FILIKUNJOMBE WA CCM, WASEMA KIGOMA WAJIANDAE KUTOA RAIS Anthony Kayanda, Kigoma na Fred Azzah Dar IKIWA imebaki miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
- leo ni siku ya mazishi ya muandishi maarufu wa muda mrefu sana nchini, bwana james mwakisyala aliyefariki juzi usiku hospitali ya muhimbili; mazishi yanafanyika leo saaa nane mchana, nyumbani...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
Unaonaje jinsi ambavyo Mwanasheria wake Mkuu anavyosimama hadharani kuukana Muungano na bado Shein amemwacha kwenye nafasi yake? Shein ambaye aliwahi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa taarifa kutoka taasisi za kimataifa za fedha, mkoa wa Mtwara unatarajiwa kuwa na uchumi mkubwa kuliko mikoa yote ya Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia sasa.Ugunduzi wa gas...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Na Mwinyi Sadallah 22nd July 2012 Mwanasiasa Mkongwe Zanzibar Hassan Nassor Moyo, amesema kwamba wakati mazungumzo ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yanafanyika, Msaidizi Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa za kuaminika kutoka kwa watu makini waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika mkoani kigoma leo zinaonye CCM imeendele kudhihirisha kwamba inaelekea kwenye anguko kuu la kisiasa baada...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya, ndugu Emmanuel Mlak, ambaye ni muasisi wa CHADEMA, Tawi la Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa, awekwa ndani kwa siku mbili baada ya kuiba vitu akishirikiana na wenzake wa...
0 Reactions
86 Replies
6K Views
Itv wameripoti hali mbaya ya kina cha maji mtera wakati na mvua ndo izo zinakatika bwawa halijajaa. Maskini wabongo tutaendelea kuhofia umeme wa maji mpaka lini. Taarifa ndani ya serikali...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Monday, 16 July 2012 13:51 Elias Msuya MKUTANO ulioandaliwa na wakazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpokea na kumsikiliza Mbunge wao, Faustine Ndugulile jana ulipigwa...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Watanzania wengi waliosoma vyuo vikuu vya Serikali huku wakifadhiliwa na Serikali kwa Asilimia tofauti 'Boom', Wamekuwa wakikatwa kwenye Mishahara yao kila mwezi pia kwa viwango tofauti. Taarifa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tundu Lissu alikuwa sahihi alipoomba kutoa hoja ya kujadili kuhusu meli iliyozama. Kanuni iko wazi: ************* 47.-(1) Baada ya Muda wa Maswali kwisha, Mbunge yeyote anaweza kutoa hoja kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Werema, madaraka uliyo nayo yanapaswa kushikwa na mtu mwenye weledi wa hali ya juu katika sheria na mtu anayetumia busara katika kila afanyalo au alisemalo. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
KAMATI ya Nishati na Madini ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imekubali wazo la wadau kuhusu rasimu ya sheria ya gesi kuwa na mapungufu makubwa ikiwemo waziri kupewa madaraka makubwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mahakama ya hakim mkazi Tabora imewakuta wabunge na makada wa CHADEMA hawana hatia katika shitaka la kumshambulia mkuu wa wilaya ya Igunga wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga...
23 Reactions
82 Replies
8K Views
Kuna hawa waheshimiwa wanaotaka kuipeleka Serikali mahakamani kudai kwamba kodi ya magari machakavu ni ya kibaguzi kwa vile iinabagua watu masikini dhidi ya matajiri. Ukinunua gari lililotumika...
0 Reactions
51 Replies
12K Views
Katika kipindi hiki kifupi CDM wametoa shutuma / malalamiko yafuatayo: Hujuma za kutaka kuuliwa viongozi wake Tuhuma za kutumiwa simu za wabunge wa CDM kutuma sms za vitisho kwa Mh. Mwigulu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Vijana wanajua wanajumuiya lakini wameamua kuleta hoja yao... kituko zaidi ni pale wanapoamua kumtumia DIAMOND na viongozi wa CCM kuja, taking a wagon ya DIASPORA na vitu vingine kufanya siasa za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
EMPTY SEAT NUMBER 666 The Vacant Seat Number 666 in the European Parliament The Tower Building (namedafter the Tower of Babel ) houses the Fifth Parliamentof Europe. It is certainly a building...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom