Nchi yetu tanzania imelaaniwa kwa kupata viongozi wezi,wabunge ,mawaziri,maraisi

Hi sio laana mkuu, bali ni kukosa heshima tu kwa viongozi wetu hawa, nadhani siku moja watanzania tutamwagana vinyesi tutafute heshima, tukishaheshimiana labda tutakuwa wazalendo
 
Back
Top Bottom