Mh.LUKUVI dodoma uliondoka na Taa na Saa zako au ndo.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh.LUKUVI dodoma uliondoka na Taa na Saa zako au ndo....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Jul 28, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mh lukuvi ukiwa RC dodoma,ulifanikisha kuwekwa kwa Taa za barabarani na baadhi sehemu kuwekwa saa ,cha kushangaza ukipita baadhi ya Maeneo unakuta zimekatwa yan kutolewa kbs...

  Kama Uongozi wa Manispaa unashndwa kusimamia uwepo wa hzo taa kuwaka,na kuwepo kwa hzo saa,je rasmali kubwa za taifa ndo mana zitapotea.

  Nashndwa kuelewa,kila anaefanya jambo kwa maslah ya wananchi akiƶndoka na vyenyewe vinatolewa.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  CCM wamelewa madaraka ..no one cares anymore!!
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Taa zinawaka za kuhesabu,Saa ndo sijui zimekwenda wapi.
   
 4. ndinga

  ndinga Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu wa mkoa hawezi badili kitu usimpe sifa asiyostahili jukumu lote lipo kwa halmashauri na baraza la madiwani plus watendaji kama mkurugenzi na wataalam wake (wahandisi) ndo watanzania tunaburuzwa kila uchao kwa ajili ya kushabikia mambo tusoyajua.
   
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Karibu Dodoma
   
 6. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lukuvi kilaza hakufanya kitu dodoma ZAIDI ya totoz pale dodom university. Napita tu.
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Du! Kichwa kinafugaia nywele.
   
 8. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Wenzie tunafikiri kwa kichwa cha juu,
  yeye anafikiri kwa kichwa cha kati.
  Mshenzi kweli huyu Ticha wa praimari.
   
Loading...