Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Jul 19, 2012.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kataa ukubali lakini ajali ya Meli Zanziba imesababishwa na CHADEMA.

  Kwa umahiri wao wa kupeleka hoja zenye maslahi kwa nchi kumekifanya chama hiki kipendwe sana na wananchi na kuifanya CCM kuwa na wakati mgumu kwa wananchi na sasa kazi ni moja tu kwa CCM kuingamiza CHADEMA badala ya kutatua kero za wananchi kwa kuwa hawako radhi kuachia nchi.

  Nahili ni tatizo la kudumu kwa kuwa sasa hivi akili ndogo inaongoza akili kubwa. Nani anabisha kuwa ajali ya Zanzibar haijasababishwa na CHADEMA?

  Ukitaka uhakika muulize Mhe Stella Manyanya.
   
 2. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbona mimba ya mama yako imesababishwa na CCM
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mods JF imevamiwa na utoto.
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Sio utoto. Ni kweli CHADEMA inahusika,
   
 5. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  unawaonea CCM, watakuwa chadema tu wenyekuleta vurugu na ndio maana wamezamisha meli! CCM chama dume bwana au vipi?
   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Bichwa kubwa Ubongo wa Mende.
   
 7. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata huo ubichwa wako mkubwa umesababishwa na chadema!
   
 8. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Kweli CHADEMA inahusika sababu hata Bahari jana ilikua imevaa Gwanda.
   
 9. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!kwa hiyo CHADEMA imetapakaa mbaka baharini?
   
 10. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 11. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora ukafanye kazi ya kutoa mbwa kaz kwa mzungu kuliko kuleta hoja kama hii
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Layman arguments
   
 13. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Yani nakwambia.... kila kitu CDM kila kitu CDM. Kweli CDM ina make Headlines
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Huyu jambazi vipi? watu tuna msiba wa kitaifa yeye anarusha threads zenye utoto humu Jf halafu tunasema CDM kina watu makini wakati tafsiri ya ueledi wao ni mawazo ya wafuasi wao. Hivi kweli huyu unaweza kumtofautisha na ropoka ropoka za akina Sugu, Mnyika, Lema na Vicent Nyenyere?
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Uzoefu unaonesha matukio wanayohusika CDM, wanakuwa wa kwanza kujibu mapigo na kuilaumu Serikali, hili vipi Mnyika katoa tamko gani? Nakumbuka sana migomo ya Madaktari, Kifo cha Chacha Wangwe, Vifo vya wafuasi wa CDM na CCM kule Igunga na Singida walidakia mapema sana kujisafisha. Watu wameshalishtukia hili.
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mkuu inamaana dereva wa meli alikuwa amevaa magwanda?
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Tunasubiri tamko la CDM Serikali ilivyohusika katika ajali hii, kwa sababu ndo mtaji wao wa kujiiimarisha kisiasa na kusahau ilani ya sera za chama chao katika kuwaletea maendeleo wananchi.
   
 18. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sijui mkinga wawapi wewe mwenye matusi ya kijinga kwanza unaonekana hata umri wako ni mdogo sana, mimi si saizi yako ndugu!
   
 19. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hii ni kuipa umaarufu CDM bila kujua!unakumbuka yule virus aliyetengenezwa kule kwenya kabla ya uchaguzi mkuu uliyopita na kuitwa Raila?kwa kiasi kikubwa ilimsaidia Raila kutangaza jina lake!
   
 20. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  + Nasari na Wenje......kwa mawazo haya mimi nakwambia ni afadhali kuwapa dola Sauti ya Uma kuliko hawa Chadema
   
Loading...