Angalia unafiki katika Zanzibar Kuna watu Daraja Mbili First Class na Secound Class ambao ni wananch | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalia unafiki katika Zanzibar Kuna watu Daraja Mbili First Class na Secound Class ambao ni wananch

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Jul 22, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [h=1]Jee hawa hawajapigwa Mabomu?

  Khitma ya kuwaombea maiti za Mv. Skagit[/h]
  [​IMG]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein wapili kutoka kulia akijumuika na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi katika Khitma na Dua ya kuwaombea marehemu waliofariki kwa ajali ya Meli ya Skagit iliozama karibu na kisiwa cha chumbe 18/07/2012 katika Msikiti wa Mushawwara Muembe shauri Zanzibar  [h=1]JEE HAWA NDIO WAKUPIGWA MABOMU?

  Viongozi wa Uamsho watafutwa, 40 mbaroni[/h]Posted on July 22, 2012 by zanzibaryetu
  [​IMG]Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) kushoto ni Azzan Khalid Hamdan, Msellem Ali Msellem, Farid Hadi Ahmed, Khamis, na Mussa Juma Issa wakiswali katika Msikiti wa Mbuyuni kabla ya kusambaratishwa na Kikosi cha kutuliza Ghasia (FFU)
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Maghala ya mabomu,risasi, mizinga yamefunguliwa kwaajili ya hao wachini wanao vuruga amani ya kisiwa chetu na kuchoma nyumba za ibada za wenzetu. Kwa hiyo walitawanywa kwani walikuwa wanafanya unafiki.Na watatafutwa kokote walipo ili washikishwe adabu ili kufunza wengine.
   
 3. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  isije ikawa polisi wana" phobia" na ndevu
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  nyote dini moja. lazima mupongezane
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Mtu umetoka kuchoma nyumba za ibada za wenzio alaf una jidai una swali, ni mungu gani huyo unaye mswalia?
  Ni bora hata mgetoa tamko la kulaani kitendo cha uchomaji wa makanisa na mnakana kinafiki.

  Hata kutubu hamjatubu eti mnaenda kuswali, wala polisi hawa kupanga kuwapiga ni nyie tu laana ina wazunguka kila mnapo kwenda.

  Na kipindi hiki wala hakuna risasi wala bomu litakalo mkosa mchoma nyumba za ibada. Nyie ndio mnafanya dini hionekane vibaya kumbe nyie ndio wabaya.
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  nyumba ya ibada ipi?
   
 7. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,187
  Likes Received: 1,909
  Trophy Points: 280
  LAANA ITAWAUWA NYIE....Mnampigania MUNGU. sisi anatupigania, MKONO wa Mungu Unawagusa sasa
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mv bukoba?
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kiongozi nakupe ushauri wa bure tena kwa nia nzuri kabisa. Kwa mungu hakuna unafiki, unaweza kucheza na akili za wanadamu wenzako lakini kwa mungu huwezi kuficha nia/dhamira mbaya. Rais wa Zanzibar ambaye ni mwislam kama ana mamlaka makubwa sana, siamini kabisa kama Nchimbi anaweza kufanya jambo Zanzibar bila baraza za Rais wa Zanzibar.

  Lakini kama nilivyosema, ukweli wa nia yako juu ya huu mchango wako ni juu yako wewe na mungu wako.
   
Loading...