Mwana jf, tukikupa urais wa tanzania 2015 utatufanyia mambo gani ili tusikuite dhaifu?.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwana jf, tukikupa urais wa tanzania 2015 utatufanyia mambo gani ili tusikuite dhaifu?..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Jul 22, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kila kukicha asilimia kubwa ya thread zinazoanzishwa hapa ni za kutoridhishwa na utawala uliopo. Sasa mie nimekaa nimefikiri na kujiuliza hivi wewe mlalamikaji kama mimi (mimi pia hulalamikia utawala kwa mambo tofauti) ungekuwa rais ungefanya nini.
  Mie binafsi ningeanza na mambo yafuatayo
  Mkuu wa polisi ningetafuta dizaini ya MAHITA.
  Muungano ningeuvunjilia mbali na wazanzibari wote ningewapa siku saba wawe wamerudi kwao na ningetuma meli na ndege kuwarudisha ndugu zangu bara kutoka zanzibar.
  Waziri mkuu wangu angetoka chama cha upinzani ili kuwe na maamuzi ya kukosoana siyo mambo ya ndiyo mzee.
  Hukumu ya kifo kwa mafisadi.
  Ningeanzisha ile kitu ya tajirika na mrema , yaani ukifichua mabovu ikajulikana ni kweli basi una milioni tano. hii ingefanya wengi waogope kuiba na ujambazi ungepungua sana hata mafisadi wasingeweza kwa sababu kila mtanzania angekuwa polisi.
  Nitahakikisha kila kiongozi aliyepita mali zake zinachunguzwa hii ikiwa na familia yake kwa ujumla na ikionekana ni mali ya uma au rushwa basi anafilisiwa na kufikishwa kizimbani kama Mbarak.
  Bandari ya mtwara ingekuwa free port kama dubai.
  Mapato ya mafuta na gesi ningeyapeleka kwenye sekta za afya, elimu na kilimo which means elimu bure kwa wote, afya bure kwa wote na msaada wa bure kwa wakulima wadogo, kuwe na mtrekta ya serikali kila kijiji kuwalimia bure wasiojiweza.
  Wanzafunzi wanakopeshwa wakifika vyuoni ili wajiandae na maisha yao halafu watalipa wakati wanafanya kazi.
  W azee wote ningewatunza bure.
  Ukianzisha kikundi kama uamsho unakuwa umejitangazia kifo nitahakikisha unapotezwa kikolimba

  Haya ni mawazo yangu binafsi wewe je????
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mimi nitaondoa udini na kuweka taifa moja lenye upendo wa dhati
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Namnyonga kwanza JKilaza hadharani. Utawala wa sheria uzingatiwe
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ubalozi wa vetikan nauondoa. Mou naichnguza na waliohusika kuwafungulia mashtaka
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mwana JF wa kwanza mmempigia debe kadodondokea pua, wa pili kadondokea kidevu, watatu itakuwa uso. Jaribuni sana, Kikwete ndio huyooooo anapuyanga.
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hujasema utapata wapi mitaji ya kututoa hapa tulipo na kutuweka katika mezani nzuri ambapo kila mwananchi atakuwa na uwezo wa kupata angalau mlo wa siku mara tatu.
  Hujasema utafanya nini ili kuuza hiyo gesi pamoja na kutoa elimu bure je unauhakika gani wa kupata fedha ambazo zitaweza kutatua matatizo yaliyopo?
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Unaweza ukasema hivyo, lakini umnyonge kwa lipi? Je huoni kama hauna ushahidi zaidi ya tuhuma?
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kusema tu hivyo hakutoshi, inabidi uingie ndani utuelezee ni namna gani utauondoa udini na kuweka uzalendo maana hapo ndo utekelezani huanzia.
   
 9. mito

  mito JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,652
  Likes Received: 2,039
  Trophy Points: 280
  Nakupa tano isipokuwa hapo kwa red, unaweza maliza muda wako wa urais (miaka 5) kabla hujatekeleza hayo, labda ulazimishe kukaa madarakani kwa miaka 10 bila uchaguzi
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nafyeka msitu wa mambwepande
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  naamini taifa hili likiondoa udini, nchi itasonga mbele
   
 12. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  2016 tunaitaka Tanganyika yetu. Hata kama tutaendelea kuiita Tanzania siyo mbaya, ilmradi tuachane na kelele za Wanzanzibar
   
 13. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nadhani Tatizo lingine la Viongozi wa Nchi hii ni Vipaumbele.
  Kwa nini kama Rais usiwe na Vipaumbele vichache tu kuliko kuwa na vipaumbele vingi wakt mwingine hadi 20?
  Ndio maana tutachelewa sana kusogea!..Jipe malengo machache ili na mwingine akija aanzie hapo..kumbuka hata Roma haikujengwa siku moja!
   
 14. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  kitu cha kwanza ningeleta utulivu ndani ya nchi! .. so ningewashikisha adabu chadema .. na kuwapa ban hakuna ya maandamano ya kipuuzi ndani ya kipindi changu chote! ... tunahitaji wananchi wafanye kazi sio kuwahamasisha siasa za chuki . udini.. ukabila.. ukanda.. na maandamano
   
 15. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kweli kaka lakini wa ukenyenge ukimuambia kitu anataka definition hata jina lake anataka definition
   
 16. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wewe ndo unaleta udini sasa utauondoaje ukiwa kiongizi? Chama chako ndo kinatawala hebu waambie wasituletee udini
   
 17. sembo

  sembo JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 3,350
  Likes Received: 1,202
  Trophy Points: 280
  Nitatulia katika nchi yangu,
   
 18. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ningeagiza mali zote zitaifishwe na ziwe chini ya serikari, kisha kuzigawa kwa uwiano kwa watanzania wote.
  Mfano kama thamani ya magali yote ingeweza kugawiwa kama baiskeli kwa kila mtanzania ningefanya mgawo huo kwa mambo mengine pia.
  Degree za juu zote zingefutwa na wale watakao toa mchango wa ubunifu ndio watatunukiwa hizo shahada sio kwa kuhitimu madarasa.
  Kila kijiji kingekuwa na serikari yake ambayo ndiyo ingepanga mipango ya maendeleo tokana na rasilimali.
  Vyama vya siasa marufuku.
  Raisi angetawala miaka miwili tu.
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Msangi akikusikia, atakung'oa meno bila ganzi
   
 20. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,319
  Likes Received: 2,681
  Trophy Points: 280
  Mimi nitapunguza ukubwa wa baraza la mawaziri kwa kuunganisha baadhi ya wizara km wizara ya mwakyembe na magufuli.kwenye madini mafuta n.k serekali itachukuwa asilimia 40.zanzibar nitaiacha huru vinginevyo wakiendelea kung'ang'ania kuwepo ndani ya tanganyika naifanya kuwa mkoa.kwa sababu nchi huwezi kuongoza peke yako pia kwa ajili ya kupata ushauri kutoka kwa watu mbalimbali.nitakubali kuitwa dhaifu kwa sababu hakuna alie kamilika na hilo litanisaidia kujichunguza udhaifu wangu ili niweze kujisahihisha.
   
Loading...