Sikiliza kikao cha bunge leo july 23.

Sikiliza kikao cha bunge leo july 23.

Arusha Mambo

Senior Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
174
Reaction score
150
Salaam,

Kikao cha Bunge kinaendelea leo baada ya kumalizika kwa siku tatu za maombolezo kufuatia ajali ya kupinduka na kuzama kwa Meli iliyokuwa inaelekea Zanzibar huku kukiwa ni viporo viwili vya kupitisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani na ile iliyokwama kupitishwa juzi Jumamosi kutokana na kukosekana kwa AKIDI.

Ili kusikiliza kinachoendeleo Bungeni ukiwa ofisini kwako, tembelea www.arushamambo.com kisha click "Sikiliza Arusha Mambo Radio....."

Redio ikifunguka tutafurahi uki LIKE redio yetu katika page ya TUNEIN au kutuma maoni yako kwa info@arushamambo.com
 
hiyo redio mnatakiwa kuiboresha, users wakiwa wengi inakuwa inakata kata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom