Kinachomuudhi katibu mkuu wa ccm kwa nape ni hikli ziara binafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinachomuudhi katibu mkuu wa ccm kwa nape ni hikli ziara binafsi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jul 22, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. MD24

  MD24 JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Sio ziara tu, hata icho kitambi cha Nape kimemkera Mukama. "kila siku nape ananenepa tu"-Mukama.
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Sio ziara tu Mukama hapendi mwenezi wake kujipaka mkorogo kama demu.mukama anasema "NAPE ANATUMIA MCHINA USONI"
   
 4. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Unajua katibu mkuu dialy yuko ofcn,per diem hakuna,wakti gamba nape daily yuko mikoani anavuta mishiko,na gamba gumu mukama ubunifu sifuri so ni kama amepigwa misumari pale lumumba,tehe tehe njaa mbaya nyie!
   
 5. Collins

  Collins Senior Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona wapiga mapanga shaaaa!
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  mukama hajawai kupokewa na makirikiri kama haya.
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahh!...."kila siku nape ananenepa tu".....hii kiboko
   
 8. a

  andrews JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​utamsikia kuna watu wamekihujumu chama ndio maana watu wengi hawakufika mkutanoni utasikia mafisadi wakae kimya au atawataja,mara ooh wanaohama ccm ni oil chafu sasa umebaki na oil mpya mbona ccm haina mshiko?
   
 9. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape?
  Hebu tuambie hizo pesa za kukodi ndege kwenye safari zako za kipuuzi nani analipa?
  Ungekuwa Mzalendo Kama marehemu Baba yako ungepanda ndege ya abiria Kama ilivyo twaswira ya nyundo na Jembe kwenye bendera yenu. Kijana mzigo unakula mkorogo Kama pedechee la kutoka Kongo . CCM brass should be ashamed of having you for promo! Uwe unatoa tathimini ya mafanikio ya hizo ziara fake!
   
 10. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  huyu Nape Mgongo haupindi
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Nashangaa hao jamaa hajawaonga tshirt za rangi ya msitu aka Mabwepande
   
 12. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Kweli Mukama angeomba apumzike apishe vijana wanaojua fitna na propoganda waendeshe chama chao,yeye aliombwa tu asaidie kufanya utafiti,ilitosha sana haikutakiwa mtafiti kwenda front kwenye operations huwa hawafaniki hata siku moja!!afadhali wangemrudisha Mwanri pale ukatibu mkuu ingesaidia kiasi,ile kasi yake ya serikali za mitaa apambane na wapinzani na makatibu wake wilaya zote na mikoa!
   
Loading...