Nape makamba alisema kweli unakiuwa chama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape makamba alisema kweli unakiuwa chama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jul 22, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nape jiandae kabla hujaongea unamtia aibu marehemu mzee moses nauye yaani wewe na wiliam malecela mnawatia aibu wazee wenu mnajijenga zaidi nyinyi kuliko chama mzee makamba alishasema sasa tunaona busara za wazee unakurukupa ni wapi marando alimtaja jina muhusika wa mbinu yenu na mwigulu mbona mnaanza kutokwa mapovu na hii ni warmup.
   
 2. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  wanajishuku tuu hao,mwizi utamjua tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 3. TETILE

  TETILE Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kamata mwizi meeeen!
  Utawajua tu!
   
 4. b

  beyanga Senior Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  mara unapiga vita mafisadi kwa kuwapa siku 90 ukiulizwa unasema mlinikuu vibaya.
  kumbe na wewe umejianzishia posho kwa kuongozana na manaibu waziri uweke posho yako vizuri ccm tuijuayo haikuwa inabeba watu kwenye mikutano yao rip ccm
   
 5. K

  Kageuka JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahhahahaaa Nape kawashika pabaya Magwanda hamlali kwa ajili yake, akitumia dk mbili basi utawaona Magwanda jinsi wanavyotoa mapovu hapa!!! RIP MAGWANDA!
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Nape ni zao la watoto waliolelewa mitaani na kukulia majalalani hivyo hana maadili na staha...yupo yupo tu kazi kupiga kelele.hivi aliishia wapi na ile mkutano wa jangwani..hahaaaa eti wassira ndo alikiwa miongoni mwa wazunhumzaji..hivi iko serious nape!
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mwigulu Jana Kama kamwagiwa maji anaona Noma litasanuka muda wowote
   
 8. a

  andrews JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​watamfuza muda si mrefu anajichubua saana
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huyu Nape anapofanya hiyo mikutano yake mara nyingi anawachukua mawaziri wajinga wajinga ndio anawaburuza kwenye hiyo mikutano; hata siku moja hutamuona Nchimbi kwenye hii mikutano ya Nape!!!!
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - jamani niacheni nipumzike!! Ha! Ha! Ha!

  Le mutuz!!
   
 11. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,834
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  mwene agwee, mwene ntaule iwazelelo wayenyu wamusulilenyi no myago yuyo nape, ati mliwahizi kanchi ati mliwapujila..
   
 12. a

  andrews JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​na hili jitu kubwa limetoka wapi si lilisema litabaki facebook kwa wanwake kwa wanaume anatafuta nini au wanafuturu hana wa kupiga picha nae?
   
 13. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tehe tehe,, alidhani siri!
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  unajuaje mkuu kwamba mwenye nchi amemtuma kukimaliza chama????!.....

  logically ninaona jeykey anakiua chama chetu kupitia huyu kijana.....!of which naona ni sawa tu...hichi chama lazima kife tu ili maisha yachape lapa.....!
   
 15. b

  bashemere Senior Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata magamba wanalisema hili jamaa kuwa lina akili ya kitoto mpaka watu wa lumumba wakisema hivyo ujue wewe uko mahututi maana wenyewe akili hakuna sasa ni kuona kichaa anaona yuko afadhari kuliko kichaa mwingine pazeri hapo
   
Loading...