Maalim seif (harage) wa cuf kugombea urais zanzibar kwa mara ya sita 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim seif (harage) wa cuf kugombea urais zanzibar kwa mara ya sita 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makame, Jul 22, 2012.

 1. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HABARI ZA KUAMINIKA ZINASEMA KUWA MAALIM SEIF (HARAGE --- JINA LAKE LA UTOTONI) ANAKUSUDIA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR 2015 KUPITIA CUF. HARAGE AMESIKIKA AKITAMBA KUWA YEYE NDIO MANDELA WA ZANZIBAR!!

  Hivi CUF hawana Mwanachama mwengine mwenye sifa ya kugombea?
   
 2. F

  Falconer JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Hahhahahah, Makame unanyodo wewe?.
   
 3. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Agombee tu mpaka cuf ijifie yenyewe
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Rest in everlasting fire CUF.
   
Loading...