Mh. Raza kaka yangu nani kakufumba mdomo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Raza kaka yangu nani kakufumba mdomo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Same ORG, Jul 23, 2012.

 1. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa hivi huyu mzee amekua kimya sana sijui kulikoni? tulikua tunakusikiliza kwa makini sana pale baraza la wawakilishi, kama upo jitoke ze hata hapa jamvini utuambie kinachoendelea!
   
 2. JOHNSON

  JOHNSON Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2008
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Raza anautaka urais kasha ingia king za ccm.
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  Jamaa kawauza kwa bei chee.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 4. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  kawauza kwa nini tena
   
Loading...