Mtwara kuwa kinara wa uchumi Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtwara kuwa kinara wa uchumi Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makupa, Jul 20, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwa mujibu wa taarifa kutoka taasisi za kimataifa za fedha, mkoa wa Mtwara unatarajiwa kuwa na uchumi mkubwa kuliko mikoa yote ya Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia sasa.Ugunduzi wa gas asilia ndio inaelezwa kuwa kichecheo cha ukuaji huu wa uchumi.
   
 2. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Ila tusikubali mikataba yao ya kilaghai..!
  Vox populi,Vox dei
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkoa kuwa kinara wa uchumi maana yake nn?
  I could expect unamaanisha mkoa parse kuwa na reflection ya maendeleo ya pekee tokana na uwepo wa rasilimali eneo lao, lakini what i know and from experience, mtwara utaishia kupitisha mabomba tu, ambapo gesi itaelekezwa kwa watumizi wakubwa, mainly Dar!
  Gesi inaliwa na viwanda am bapo havipo Mtwara, so U-kinara wa Mtwara huo kiuchumi unaujstify vp?
   
 4. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  PAKAJIMMY,
  Kumbe Sera ya Majimbo inafaa kwamba raslimali za sehemu fulani zinufaishe kwanza sehemu hiyo kabla ya maeneo mengine. PEOPLE'S POWER
   
 5. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,716
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  mkuu umenena!!!! kwanza tuwaulize JK wakati wa kampeni alisema mtwara kuwa mji wa viwanda mpaka leo hata kiwanda cha sindano za kushonea nguoa hakuna, miaka 2 sasa hakuna dalili ya kiwanda chochote, hicho cha cement cha alhaji dangote bado kitendawili.
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  source wapi?
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Tumeshaanza kupasuka vichwa hata hatujafika popote pale.Kwanza tutambue kwamba gas iliyo[patikana Mozambique mpaka sasa hivi ni karibu mara mbili ya hii iliyogundulika Tanzania.

  Inasadikiwa Mozambique could soon become the third largest tranporter of LNG in the world. However Gas and petroleum industry is one of the heavy engineering industries and involve alot of injected capital. How do we fare in the whole game?

  Kwanini tusiweke mkakati wa kuwashawishi wenye exploration rigs na engineering support nyingine zinazohitajika kwenye hii industry ziweke base yao Tanzania kwa malengo ya kuserve the whole east african coast?

  Tunajua vizuri hii industry inafanya kazi vipi? Kama hatujui, tufanye mikakati ya makusudi ya kuanza kujifunza tuachane na hizi longo longo tulizozoea.

  Bila kufanya kazi tutabaki wapiga story tu
   
 8. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kama ingekuwa hivyo basi Mikoa ya Mwanza na Shinyanga ingekuwa mikoa yenye uchumi mkubwa, kwasababu migodi karibu yote ya dhahabu inaptika huku.

  Lakini tunaona pesa yetu yote inakwenda kujenga USA na Canada na ile kidogo inayobaki nchini inakwenda kujenga Dar na Msoga!
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Hizo ni taarifa za nje...vipi kuhusu taarifa za kitaifa zinasemaje?
  Binafsi naamini kama hatutakua na utaratibu(sera) wa mali asilia za mikoa kuratibiwa na mikoa husika kwa usimamizi wa serikali kuu (kama ilivyo kwa nchi zenye serikali za majimbo), basi takwimu hizo zitaendelea kubakia kwenye makaratasi.

  Mifano hai inaonekana kwenye sekta ya madini, utalii na nyinginezo. Madini ya Almasi kule Mwadui yalianza kuchimbwa kabla hata wengine hatujazaliwa, lakini angalia uchumi wa Mwadui au mkoa wa Shinyanga. Tatizo hilo likaambukiza hata sehemu zenye madini mengine kama dhahabu, tanzanite n.k.

  Kikwazo kingine ni maandalizi hafifu ya serikali na watu wake. Jamani nchi yetu imejaliwa rasilimali lakini hakuna wataalamu wa kutosha kiasa ya kwamba zabuni zote hizi wanashinda watu wa nje na pengine ndio maana tunaibiwa kila uchwao.
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mtwara wataambulia uchafuzi aw Mazingira tuu
   
 11. MANI

  MANI Platinum Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280

  Kama Geita na Tarime .
   
 12. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nilibainisha mimi toka mwanzo pale nilipokuwa huko mwanzoni wiki iliyopita kuwa MTWARA ni haTARI SANA NA ITAKUWA KWA KASI SANA KUTOKANA NA KUWA NA MAMBO HAYA.
  1. BANDARI NZURI SANA
  2. Gas ambayo itaweza kutoa umeme wa uhyakika
  3. Ardhi nziri kwa kilimo cha Alizeti, Mtama na korosho
  4, madini kama Uranium na mables kwa ajili ya kutengenezea saruji.  Kinachotakiwa kufanywa ni kuweka miundombinu bora ya barabara kutoka dar mpaka Mtwara. Ni ile iliyopo kwenye bajeti ya mwaka huu ya kutoka Mtwara , masasi Tunduru kupitia namtumbo, mpaka mbambabay.

  Kuna fursa nyingi sana za uwekezaji nawashauri mzichangankie na sio kuwa wangalizi wa maendeleo yyenu
   
Loading...