Kumbe CDM hamna Wasomi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe CDM hamna Wasomi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jul 17, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.

  Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nadhani ungesema Zanzibar hamna wasomi ungeeleweka zaidi. Sasa mbona unahukumu CDM nzima? Hatuwezi kukupangia hapa safu yetu. Ili iweje? Ili CCM ianze kuwaUlimboka?
   
 3. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Duh ,Zanzibar kuna wasomi tena sio waoga, hivi mnaogopa ? Basi mtaongozaje nchi ikiwa ni waoga ? Tz imejaa vibaka na imejaa wakorofi ! Mnapoenda vitani ni mawili kufa au kupona ,sasa ikiwa mnawoga na ndio mbio zinaanza kinyemela ,si mtawatosa wanachama wenu ?

  Yakhee tupangieni safu yenu hapa ? msione soo !
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Lakini unapoenda vitani humwambii adui umekuja na silaha gani. Upo hapo? Subiri wakati muafaka utaiona safu yetu.
   
 5. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  craaaaaaaaap
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mbona silaha zinajulikana ,ninavyofahamu silaha za Chama ni sera ,? Na nilichowapa ni ushindi hivyo katika ushindi nilihitaji ni nani hao ambao(proposed) wataongoza nchi hii ? baada ya kushinda uchaguzi ,mbona mnakuwa wagumu ni kitu rahisi tu ,inaonyesha hamujiamini mnaogopa ,si ndio !
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Aloo hio avatar ni Mh Sokoine (marehemu) ,uyoo jamaa nilinuekea matumaini sana sana ,iwapo angeawahi kuwa raisi wa Tz ,ila naona unamrepresent visivyo .
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hakuna cha kuogopa. Msukumo wetu kwa sasa si nani atakayeshika nafasi gani. Msukumo wetu ni vipi tunaweza kuikomboa Tanzania kutoka hili limbwi la ufisadi, uuzaji kiholela wa maliasili zetu na kuwarejeshea Watanzania matumaini katika nchi yao wenyewe. Hapo ndipo tunapoelekeza nguvu zetu.
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ktk hili Chademu hawana tafauti na masahiba zao Magamba..tbh.
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  You wish!
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  nothing to wish..facts are facts. Chademu will make excuse about everything hata kama ukweli upo dhahiri, tabia ambayo wameiga kutoka kwa masahiba zao Magamba.
   
 12. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Ndugu pole sana kwa kupandwa na kichaa.
   
 13. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Na ndio nikasema nimewapa ushindi wa yote hayo,kwayo yataendeleza Tanzania ,na ni nani hao watakao endeleza ushindi huo ,maana nikiangalia ndani siwaoni, Inawezekana wizara nilizohitaji ni nyingi na hamuwezi kuzitosheleza kutokana na kutokuwepo wenye sifa za kuongoza nafasi hizo nyeti za uongozi.
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  unataka kujua mawaziri au watendaji wa serikali..tatizo la ccm kila mtendaji mnataka awe ccm na fisadi kama sifa kuu sisi chadema yoyote mwenye maadili na asie fisadi..chadema ina vijana wasomi wengi sana tatizo huwezi kuwajua kwa sababu bado una mahaba na magamba..lakini tuliza mzuka 2015 utalitambua hilo..
   
 15. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  wewe umesema hayo ,ila kwa Tz si ajabu tunaona pale bungeni malaria inavyoleta matatizo ,yule spika anasahau kuwa watanzania wote wanavimilea vya malaria ,sometimes plus inakuwa kubwa na sometimes inakuwa ndogo ,nilienda kupima juzi nikaambiwa nina wadudu wanne,nilipohitaji ushauri ,daktari akasema ni kawaida hatari ukiwa na mdudu mmoja kama ulivyo,

  Chadema nawaheshimu sana ,ndio ukaona huwa nakuwa naulizia ,ila watu wenye uchadema kama wako ni hatari katika chama kwani mnakuwa hamsikilizi mawazo ya wengine ,majibu yenu ni pumba and simple as it is ! Hili suali gumu kwa wanaojua hesabu,kwa upande wangu kila nikipiga hesabu napata sifuri ndio nikauliza.
   
 16. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... kafu wana wasomi wengi sana aisee... we pita ntwaala utawaona
   
 17. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nataka kujua kuanzia Raisi na mawaziri wa kiasi wizara kuminatano(15) ,nimefurahi uliposema wasomi ni wengi na ndipo hapo nikasema nahitaji proposed safu ya uongozi ,Mnaelewa lakini sijui kwa nini mnakuwa wagumu kuwataja .
   
 18. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Naona mnafufuka mmoja mmoja ,yaani mnakuwa kama mazombi ,unaulizwa wewe unarukia kwengine ,mkuu hapa nazungumzia CDM tu .

  Inawezekana wewe humjui hata kiongozi mmoja wa CDM zaidi ya Slaa,Zito,Mnyika,Lisu na mbowe ni hatari kubwa sana kuwa na wafuasi wa dizaini zako.
   
 19. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Huwezi kuwaona kwa sababu unaangalia ndani ya box. Sisi tunaangalia nje ya box. Siasa za personalities ndizo zimewafikisha CCM hapo walipo. Hawana ideas, hawana sera, hawana vision. Sisi tunajenga vision ya kuwasaidia Watanzania kujikwamua na ufisadi, kuwasaidia Watanzania wawe wawekezaji na wajasiriamali wenyewe, kuwasaidia Watanzania kusimamia maendeleo yao bila kutegemea wale waliotunyonya na kutufikisha hapa kwamba ndio wakombozi wetu. Sasa wewe ukianza kuangalia personalities, huwezi kuwaona, lakini ukijikita katika sera na vision wapo Watanzania ndani na nje ya nchi ambao wako tayari kulisukuma gurudumu hili la mageuzi.
   
 20. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  We zezeta kama wewe unapata wapi akili ya kupiga hesabu?
   
Loading...