Umma wa Kigoma waikataa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umma wa Kigoma waikataa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magesi, Jul 22, 2012.

 1. M

  Magesi JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Taarifa za kuaminika kutoka kwa watu makini waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika mkoani kigoma leo zinaonye CCM imeendele kudhihirisha kwamba inaelekea kwenye anguko kuu la kisiasa baada ya kukosa hamasa kiasi kwamba ilibidi Mbunge wa kigoma mjini kuchukua wa2 kutoka maeneo ya pembezoni kuja kujaza uwanja hata hvyo wamekosa mvuto kwan mahudhurio yameshimdwa kabisa kuvunja rekodi ya mahudhirio ya Mbunge wa CHADEMA aliyedhulumiwa ushindi Mh.ALLY MLEE nawasilisha wakuu M4c daima
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,489
  Likes Received: 81,786
  Trophy Points: 280
  lol! kumbe hawakufunika kama walivyotegemea? Kweli mfa maji haishi kurusha mateke huku na kule katika juhudi za kuokoa uhai wake.
   
 3. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Up to them bhana! Kama hawaelewi sisi tufanyaje? CCM hawaamini mpaka wamwone rais kupitia cdm akikagua jeshi uwanja wa taifa paleee temeke.
   
 4. a

  andrews JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]​KWA KUKODI MBODABODA NAPE ANAONGOZA KWENYE SAFU YA VIONGOZI NCHINI WA CCM
   
 5. B

  Bob G JF Bronze Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Watu wamechoka na ccm, kila mahala ccm haikubaliki sasa na ndo sababu ccm imeingia kwenye siasa za kutisha watu na kukimbilia mahakamani kuzuia watu wasiseme wala kujadili uovu wao
   
 6. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kweli hali ilikuwa mbaya sana. Ile idadi ya watu si ya hadhi ya big figures kama mawaziri na katibu mwenezi. Ulikuwa mkutano wa size ya diwani au mwenyekiti wa kijiji. Haukureflect matangazo yaliyofanyika kuupigia promotion. nimeshuhudia kwa macho yangu.
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,489
  Likes Received: 81,786
  Trophy Points: 280
  Dah! Kweli walifunika kupita kiasi!!!! Kigumu chama cha magamba!!! Kigumu!!!

   
 8. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Mchalii wanataka pesa,kula ccm,zuga ccm kura cdm,Watoto wa mjini hawakuachi ukirembesha,wanakulamba na kusepa!!
   
 9. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Kai wanayo,nape anatafuta per diem tu!
   
 10. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Vijana wenzangu huu ni wakati wa kula kwa MAGAMBA na kULALA kwa MAGWANDA,Chukueni hizo hela ni za kwenu,nape kapewa kutoka kwenye kodi zenu!
   
 11. a

  andrews JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​hawachelewi kugombana sababu ya posho hao wape siku 90 tu
   
 12. MD24

  MD24 JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Inamaana pamoja na kuwasomba kwa malori mkutano ulikosa watu? Duu!! Sasa inabidi watoe fedha na ubwabwa kwa wingi...
   
 13. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  CCM ni malofa.
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Kweli wamefulia!!bado wanaamini ni upepo tu utapita?? Liwalo na liwe!
   
 15. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nape anatafuta posho..akae lumumba ale nini.
   
 16. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 841
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60

  Wanapitwa hata na mkutano wa Diwani wa Chadema,sisiem kushney
   
 17. N

  Njaa Mbaya JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 667
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Naomba mtuwekee picha akihutubia Nape hili tumsute
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,489
  Likes Received: 81,786
  Trophy Points: 280
  Wanatafuta namna ya kuchakachua picha kama walivyofanya pale Chadema Square ili watuzuge kwamba kulikuwa na mahudhurio makubwa.

   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Tehete wazee wa mabwepande
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu hhhhahahahahahahahahahahahahahaahahahaahaahahahaahahahaahaaha
   
Loading...