CDM fanyeni hili ili wananchi tuwaelewe ! kwani kuwa na nywele hakumaanishi una uwezo wa kufikiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDM fanyeni hili ili wananchi tuwaelewe ! kwani kuwa na nywele hakumaanishi una uwezo wa kufikiri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Jul 21, 2012.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Katika kipindi hiki kifupi CDM wametoa shutuma / malalamiko yafuatayo:
  • Hujuma za kutaka kuuliwa viongozi wake
  • Tuhuma za kutumiwa simu za wabunge wa CDM kutuma sms za vitisho kwa Mh. Mwigulu Nchemba (aka. Kiboko ya CDM warukao na watambaao ardhini na angani)
  Na kwa hizi shutuma zote, viongozi wa CDM wamedai kuwa wana ushahidi na wasemayo. Kwa minajili hiyo basi, ili kutusaidia sie wananchi , kuwataja tu watuhumiwa hakutoshi bali kama mna ushahidi fursa iko wazi kuwapeleka mahakamani, sasa kwa nini msilifanye hilo ? ni kipi mnacho kiogopa kupeleka masuala haya mahakamani? . Sifa mojawapo ya mtu mzalendo ni kuhakikisha suala ambalo analijua basi haki ichukue mkondo wake, sio lazima CDM msubiri mpaka nyie mshtakiwe wakati mna fursa ya nyie pia kuwashitaki watu hao. Fanyeni hili na wananchi tuwaamini, kutaja tu haitoshi kwani hata mie naweza kuwataja watu.
   
 2. m

  master gland Senior Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Gamba wee, acha kutoka povu nenda kawashauri magamba wenzako namna ya kuhujumu rasilimail zetu, mnashindwa kujibu hoja za msingi maanza kutukana
   
 3. M

  Mbunge wa ilula JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waende wakashtaki mahakama ya nani?
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Humu ndani watu hawalali wanafikiria cdm....tulizaneni
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  huu ni mwaka wenu kutapatapa
   
 6. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Naunga mkono hoja 100%
   
 7. paty

  paty JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Tukicheka, tukinuna, mafisadi pressure inapanda inashukaaaa, kaa pembeni ukweli unajulikana , we mwenyewe unajua , unajipa presha kupretend ujui , marando alishafafanua, slaa alisha sema ukweli, mnyika alisha weka ukweli hadharani, so acha kuweweseka
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ukweli bila yakufanya vitendo unasaidia nini ? na anae weza kuweka ukweli ni mahakama, sasa shida iko wapi ? ndio maana nikasema hata mie naweza km hoja nikutaja tu huyu amefanya hiki , na huyu amefanya hiki

   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Wanao tapatapa ni nani sasa CCM or CDM ? km CDM ni sawa kwani jamaa kesho utasikia kwenye magazeti mke wa Slaa Josephine, alitaka kuwekewa sumu nk
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Rudia kusoma thread, kutolala kunasaidia nn ? cha msingi ni kutolala kwa kupeleka ushahidi mlio nao mahakamani

   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwani hata katiba huijui juu ya mihimili mi 3 ya dola ? sasa km ni hivyo hata maoni yako ya katiba utayatoaje sasa

   
 12. e

  elementary Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sema hiviii mimi niwaelewe, na sio kutumia wingi wakat uko peke yako.
   
 13. b

  beyanga Senior Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ​kalale kwanza inaonekana una usingizi mzito
   
 14. b

  beyanga Senior Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbegu zako ni dhaifu kama hoja yako liwalo na liwe + dhaifu=ccm
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hilo nano neno kama halitapingwa kisiasa
   
 16. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wewe Njegele kweli, mmeshajipanga na mahakama zenu eeh!, we know how tó play the game,mtatusubiri sana huko hatuji, tunawajua MAHAKIMU wa haki,tumeshawashtakia na HUKUMU wanayo tayari,endeleeni na sarakasi zenu na mataulo yenu viunoni,2015 mtajua!
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hatuna imani na mahakamaccm !
   
 18. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145

  Hapa kwenye uwekundu ni mahakama gani za kushtaki? Hizi mahakama za akina Werema?
   
 19. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wamesema wazi kwamba hawana sababu yeyote ya kuwataja.Message sent kwamba waliofanya hivyo ni viongozi wa juu wa Chama cha Magamba.Na kwa vile wananchi tunakijua Chama cha Magamba vizuri,tunajua hakuna shaka yeyote ni kweli.Wakiwataja moja kwa moja si mtawapeleka Mabwe Pande.We don't need the names.
   
 20. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  We know how to dance to your music MAMA POROJO, you people will never take us in your trap that easily! teh teh teh, hey waitress John walker please single!
   
Loading...