Hawa ndio wanaCCM ambao pia ni wanajumuiya ya watanzania walio majuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ndio wanaCCM ambao pia ni wanajumuiya ya watanzania walio majuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DE NOVO, Jul 23, 2012.

 1. DE NOVO

  DE NOVO Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana wanajua wanajumuiya lakini wameamua kuleta hoja yao... kituko zaidi ni pale wanapoamua kumtumia DIAMOND na viongozi wa CCM kuja, taking a wagon ya DIASPORA na vitu vingine kufanya siasa za bata... kupekecha tope kupata pumba

  USHAURI WA BURE.... CCM MNAZIDI KUJIDHALILISHA SANA, BE WISE, TRADE WISDOM AND NOT POOP

  MNAMHARIBIA DIAMOND KIPENZI CHA WENGI KWA SIASA ZENU ZA MAKUNDI... time to wise up, CCM ni chama kikubwa zaidi, kina heshima zaidi na historia kubwa kuliko mnavyotaka kumanage ccm huko

  youtube says it all, jamaa kichwani anakaribia sifuri

  I do expect viongozi katika national level na wazee wa wisdom watawasaidia kuondoa takataka za vijana hawa na kuweka wasomi wa maana

  Mahojiano na Tawi la CCM DMV - YouTube
   
 2. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Dah nimeicheki hiyo clip, had to laugh, Kwanza ndg Ben Mwaipaja anaonekana kapania kuongea ana mambo mengi kichwani na anajaribu kusema yote at once hadi inakua mchanganyiko, halaf Rama alivokua anamchek Ben says alot ni ka vile anawish kumwambia slow down!
  My favourate part ni pale alipokua anaongelea kikao cha jumuiya na mkutano wa chama kugongana, lol!!
   
 3. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Dah naendelea kuchek hapa mapungufu ni mengi sana! Lol!!
   
 4. k

  kijiwehikihiki Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wadau mnaongea juu ya kitu gani? Wekeni mambo wazi tupaje kujuzana wanajf
   
 5. b

  baajun JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa Benja anasema wameelimika! wameelimika nini speech yenyewe hiyo. Anaongea kama mtu mwenye mambo mengi kichwani na anataka kuyatoa yote at once. Benja sio muongeaji wa public. Ni mtu wa kubishana. Tunamjua mechi za simba na yanga huwa anabishana na sisi Yanga wote yeye peke yake. Hiyo clip ina ongea yote. Inaonyesha upeo wake ni finyu.Kujieleza zero. Na huyo mwenzake katibu wa vijana ndio Dah! Hatakuongea hawezi. Wao kazi yao kuongea matusi tu. CCM tafuteni watu wakuwaongelea msituwekee walevi hawa.

  Wanasema hakuna cha kusema mtu kasoma wala nini. Hivi we benja unafikili tunataka watu darsa la saba? Angalia nchi zilizo endelea.Hakuna kiongozi High school. Nenda Kenya hapo- Hupati Ubunge bila degree. Benja, Jipange kabla ya interview sio unakulupuka tu.
   
Loading...