Kesi ya shambulio la mkuu wa Wilaya Igunga, CHADEMA yashinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya shambulio la mkuu wa Wilaya Igunga, CHADEMA yashinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by koo, Jul 20, 2012.

 1. koo

  koo JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mahakama ya hakim mkazi Tabora imewakuta wabunge na makada wa CHADEMA hawana hatia katika shitaka la kumshambulia mkuu wa wilaya ya Igunga wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.

  Akisoma hukumu hiyo hakimu alisema hakukuwa na ushahidi wakutosha kuthibitisha makosa waliyo shitakiwa nayo wabunge na makada wa CHADEMA pia aliwaonya upande wa mashitaka kwa kufungua kesi zenye mlengo wa kisiasa akisema ni kuipotezea mahakama muda na kuaribu pesa za walipakodi.

  Alisema anakubaliana na hoja za utetezi kwamba mtandio nivazi linaloweza kuvulika pasipo shambulio hata wakati mtu akitembea laweza vulika pia alisema kwa sheria ya ulinzi shirikishi wananchi waweza kumshikilia mharifu popote mpaka polisi wafike hivyo kuweka chini ya ulinzi DC huyo halikuwa kosa.

  Nawasilisha.

  Source: nilikuwepo mahakamani.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Ubarikiwe,
  asante kwa kutujuza.
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Halafu CDM mkishinda kama hivi, huwa ndio mnasema HAKI IMETENDEKA, ila mgeshindwa mngesikia mahakama zinatumiwa na CCM. Sasa hapa ngoja uone CDM pro watakavyo toa pongezi mpaka, halafu mnakuja kusema mahakama hazitendi haki kwenu, na hili je?
   
 4. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ndivyo kodi ya walalahoi inavyochezewa hivyo...asante kwa taarifa...
   
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ahsante kwa taarifa mkuu
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hongera sana makamanda!
   
 7. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ni hiyo iwe fundisho kwa Ma DC wenzake. Wananchi tutuie hukumu hii kuwashikisha adabu watawala.
   
 8. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Siku zote huwa wanaambiwa "Sisi tuna Mungu" wao wana mafisadi na mashetani yao" Tuendeleze mapambano makamnda wote ushindi uko karibu sana!!!!
   
 9. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mkuu leo ni shift ya asubuhi humu jf?
   
 10. marksalewi

  marksalewi Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mungu mkubwa haki itasimama tu
   
 11. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Aisee! Pole sana kwa kupoteza kesi. Usijali, unaweza fanikiwa next time ukizusha kisa kingine.
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Asante Mungu mwema na mtakatifu.Wewe ni mwenye haki utukuzwe milele
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Peoples pawaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa ma CCM pwaaaa kilio kote kote .Wako watanzania wachache sana huko kwenye mahakama wanao ona ukweli na wanaujua ukweli juu ya CCM kutumia mahakama vibaya
   
 14. e

  eskimo Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  big up kwa taarifa, hizo zilikuwa mbinu za mwigulu kama campain manager wa CCM. na ndio maana CCM wakamuamini na mumleta tena arumeru mashariki kama campein manager na akashindwa na sasa hivi hawawezi kutumia tena kwani mbinu zake zimeshafahamika kama zile za juzi iramba kwenye jimbo lake kwa kuwapatia vijana pesa ili wafanye fujo kwenye mkutano wa CDM
   
 15. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwa hukumu kama ile kesi ya Arusha ambayo hata kipofu ameona zengwe lake tuache kulalamika?Gamba mkubwa wewe!!
   
 16. D

  Dopas JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante, walau inafurahisha mara moja moja mahakama ikitoa haki hivyo...
  Hivi ule uzinzi wa mwingulu igunga haukufunguliwa kesi?? au amemalizana na mwenye mali...
   
 17. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Salam kwa Mwigulu aka lameck na hii iwe fundisho kwa viongozi wote wa serikali wanaopenda kujihusisha na siasa tena siasa chafu wakati wa utekelezaji wa majukumu ya kiserikali
   
 18. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hapo hakimu amekataa kutumiwa na magamaba kama tp........................
   
 19. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  haki imeitupa mbali sana dhuluma asante sana
   
 20. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna kesi na kesi kweli hata wewe ungesemaje kama ungesikia eti walimvua nguo ambayo ni sehemu ya ibada yani mtandio ni ijabu kweli watu walikurupuka tu. Je unasemaje kuhusu kesi ya ubunge ya SEGEREA mtu mzima alikimbia na sanduku la kura isivyo alali na kisha kashinda kesi kweli unaweza kusema ni haki ilitendeka hapa
   
Loading...