Kukamatwa kwa Mmiliki na Nahodha wa Skagit, je Serikali inawaogopa SUMATRA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukamatwa kwa Mmiliki na Nahodha wa Skagit, je Serikali inawaogopa SUMATRA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eumb, Jul 23, 2012.

 1. eumb

  eumb Senior Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baada ya meli ya Skagit kuzama, kumekuwa na hoja nyingi za kilichosababisha ajali hiyo, na nani anastahili kubeba lawama kutokana na janga hilo. Leo nimesoma kwenye gazeti kuwa mmiliki na nahodha wamekatwa. Lakini nikajiuliza hivi ni hao tuu walipaswa kukamatwa? Kama meli ilikuwa haina ofisi Dar, nani aliruhusu ifanye biashara? Na kwanini hajakamatwa? Kama hali ya hewa ilikuwa mbaya, nani alipaswa kuizuia isiondoke? Na kama hakuizuia kwanini hajakamatwa?
   
 2. d

  destiny1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hii ndio bongo, mambo tambarare, tutaongea sana lakini yote yatapita kama mengine yalivyopita, tufunge na kuiombea Tanzania yetu saaana.
   
 3. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Meri imesajiliwa zanzibar!!!!sumatra wanausikaje hapo nayo ni ya bara tu
   
Loading...