Marufuku kuhesabu wamasai sensa> ukitia mguu tu njale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marufuku kuhesabu wamasai sensa> ukitia mguu tu njale

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mangifera, Jul 23, 2012.

 1. m

  mangifera Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazee wa Kimasai (MALEIGWANAN) wamepiga marufuku mtu yeyote kufika katika maboma yao kwa ajili ya sensa vinginevyo watakiona cha moto. Hii ni kutokana na ukweli kuwa serikali imepeleka wawekezaji manyara na Arusha ambao wanawaua wamasai kila siku bila hata kuchukuliwa hatua yoyote. Na hata wahusika wanapokamatwa siku mbili hurejea mtaani. Hivyo zoezi la sensa linaonekana kwa wamasai kuwa lina lengo la kujua wako wangapi ili wawamalizie kabisa! Source ITV habari jana.
   
Loading...