CCM inajiandaa na power sharing 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM inajiandaa na power sharing 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Jul 23, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Power sharing agreements imekuwa ndio mtindo mpya hasa kwa nchi za Africa ili kuweza kuondoa uwezekano wa Civil war,tumeona miaka ya karibuni nchi za Kenya na Zimbabwe zikiingizwa kwa nguvu na mataifa makubwa yenye nguvu ili kuzuia umwagaji mkubwa wa damu utakaoweza kusababishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe.pamoja na madhara makubwa ya power sharing kutokea katika utendaji wa kazi za serikali lakini imekuwa ndio suluhisho hasa la nchi zetu za kiafrica kwani serikali inajikuta inaendeshwa na makundi mawili tofauti yanayotofautiana kiitikadi na kimtazamo,
  Tanzania wakati wetu umefika,tupende tusipende power sharing inabisha hodi na kwa taarifa ni kwamba 2015 tutaanza rasmi process nzima ya power sharing,
  hii inatokana na chama cha mapinduzi kutokujiandaa au kutokukubali kuachia madaraka kwa sababu moja tu,waliamini wao watatawala milele
  mtazamo wetu je watanzania wanaosifika kwa upole na kuridhika reaction yao itakuwaje siku ile,je mataifa makubwa yataacha kwanza damu imwagike ili tuweze kuamka usingizini au wataingilia kati kabla damu haijamwagika??
  je ni vema mtoto wako aliyezubaa kumwacha afundishwe na ulimwengu kwa kuwa wewe mzazi umeshindwa??
  WATANZANIA WAJIANDAE NA POWER SHARING 2015 KWANI HAIEPUKIKI!
   
 2. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Marehemu sheikh Yahya Hussein alitabiri hilo kutokea 2015 hio ni kabla ya kufari dunia. Sikuwa nikimuamini na bado simuamini.
   
 3. m

  mharakati JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145

  ukiacha ushabiki, power sharing inategemea CCM watamuweka nani kugombea 2015.....


  Nafikiri camp ya EL wameshalipigia mahesabu hili na ndiyo maana Rostam ameanza kusifia CDM, Mbowe na Slaa wanashindwa kumsema wazi wazi EL, Zitto kutayarishwa kuja kua PM etc
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Binafsi sikubaliani. Wakishindwa warudi wakajipange upya kwa uchaguzi ujao. Hakuna kushare power na wajingawajinga kama ccm.
   
 5. a

  afwe JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Ila title na content do?
   
 6. b

  bdo JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  labda zenji, bara hapana, tumetoka mbali sana kuikomboa hii nchi..tunataka usafi na kusafisha kila chumba, tukianzia na TISS
   
Loading...