Chumba cha siri
Member
- Jun 27, 2012
- 17
- 7
Mala kwa mala nimekuwa nashangazwa na kile kinachofanywa na huyu mtu wa kule iringa maeneo ya isman hivi yuko kwa ajili ya maslahi ya nani pale bungeni maana kila hoja yenye maana kwa watanzania yeye anaipinga na kusema hiyo isijadiliwe
sasa kunamaana gani basi ya wabunge kuwepo pale maana ukiondoa bajet mambo mengine yote yako katika tume na mahakani?
hivi ni maslahi ya watanzania au ni maslahi ya serikari? ambayo anayasimamia kama ni ya watanzania ni kwa kiasi gani ametekeleza?
nakama ni kwa ajili ya serikali mwisho wa hiyo si ni kwa wananchi ambao wameiweka madarakani?..
MH.RUKUVI UNANINI?