Ukweli ni ukweli tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli ni ukweli tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAKA A TAIFA, Jul 23, 2012.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwanini ccm inakataa kujadili mambo ya msingi na haki badala yake wanakimbilia mahakamani?kuna masuala mengi sana hayajajibiwa au kupatiwa ufumbuzi,mfano richmond,deep green,watu waliofukiwa bulyahulu,ajali za meli.migomo ya wafunzi na wafanyakazi.lakini wajue upo mwisho wa kilakitu na kila jambo
   
Loading...