Zanzibar itambulike kama nchi Jumuia ya Africa Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar itambulike kama nchi Jumuia ya Africa Mashariki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rich Dad, Jul 23, 2012.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sikubaliani na style ya sasa ya watanganyika kuwaburuta Zanzibar kwa mwavuli wa TANZANIA. Nashauri wakuu wetu wa nchi waangalie possibility ya kuipatia zanzibar hadhi ya nchi kwenye uwakilishi wa EAC.
   
 2. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Halafu mkitambulika so what? Ombeni kama walivyofanya Rwanda.
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Baada ya hapo tutaanza mchakato wa kuitambua tanganyika.

   
 4. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Tanganyika tunajitambua dats y hatutumii muda wetu kuomba wat we have in our mind! Tukae tujenge taifa mipaka ipo tu na utaifa upo tu siku zote.
   
 5. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Don`t be full
  [​IMG][​IMG]
   
 6. M

  Mzenji73 JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  " watatuwachilia tu hawa! hadhi yetu Zanzibar kitaifa n akimataifa inakuja !! Jamhuri ya Watu wa Zanzibar kwanza!"
   
 7. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja
   
 8. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  The easiest way ni kuanza na Zanzibar itambulike kama dola huru ndanib ya Muungano. Baada ya hapo ndo juhudi za kumuondoa Mkoloni mweusi CCM na kutangaza dola huru ya Tanganyika zitafuatia. Upo?

   
 9. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ungeweka Picha ya Nguruwe na mishkaki yake ndo ingenoga zaidi
   
 10. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,806
  Likes Received: 2,579
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono mia kwa mia. Muungano na tanganyika umekuwa a big let down, nafuu tushirikiane moja kwa moja na progressive like minded nations kama Rwanda na Kenya.
   
 11. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Do not offend anyone, just go back to the thread nimetokea kuipenda lakini unataka kuleta chembe za itikadi nisiyoipenda kwa kua naipenda Tanzania.....
   
 12. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Is not my intention offending anyone, ila kuna watu wameanza kuleta chembe chembe mbaya.

  Anyway, back to the topic:
  Viongozi hawataki kusikia yafuatayo:-
  1) Kuitisha referendum yenye maswali mawili kwa wananchi, je mnautaka kuendelea na Muungani YES or No
  2) Kama jibu ni YES, Je ni Muungano wa namna gani wananchi wanautaka? Muundo wa serikali ukoje?


   
 13. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  There you are bro, The 1st qn will end the PROBLEMS of two sides of the same coin called MUUNGANO. Kwa maoni yangu National referendum will be more democratic with the rule of Marority (Deciding the MUUNGANO SAGA) and respect of Minoruty rights. Ki vipi?
  1: Baada ya wananchi kuelimishwa kuhusu pandezote za kuunga na kupinga muungano ndipo wapige kura ya NDIYO/HAPANA.
  2: Kama upande wa kuunga mkono MUUNGANO(NDIYO) utashinda basi yaainishwe masaibu ya muungano ili kulinda haki ya wachache walioupunga (MINORITY RIGHTS) na kufanyiwa marekebisho ya kudumu in a well documented deed.
  3: Kama upande wa HAPANA utashinda basi isiwe shida, Zanzibar ni nchi na ina kila kitu. Wawe majirani zetu na mipaka iheshimiwe kama nchi nyingine zinazotuzunguka.
   
Loading...