400 wajiunga na chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

400 wajiunga na chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jul 24, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145  Home » »
  [h=3]400 WAJIUNGA NA CHADEMA[/h]  na Joseph Malembeka, Morogoro


  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Morogoro kimeendelea kuzoa wanachama kutoka vyama mbalimbali ambapo juzi jumla ya wanachama wapya 400 walijiunga na chama hicho.


  Wanachama hao wapya walijiunga na Chadenma katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya ‘Fire’ mjini hapa.


  Mwenyekiti wa chama hicho Manispaa ya Morogoro, Zuberi Kiloko, alisema kati ya wanachama hao 250 ni wapya huku 150 wakitoka Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

  Awali, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA (Bawacha) Mkoa wa Morogoro, Levina Matambo na Katibu wa Bawacha, Mecy Naula, waliwashauri wanawake kubadilika na kuunga mkono juhudi za vyama vya siasa nchini kufanya mabadiliko ya kisiasa kwa kukiondoa chama kilichopo madarakani na kuingiza chama kipya.


  Walisema utawala wa sasa unaongoza nchi kwa mazoea, jambo ambalo linaiingiza nchi


  Chanzo: Tanzania Daima


   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  M4c inatwanga kotekote!
   
 3. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Go chadema
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  M4c inavunja vunja ngome za magamba!
   
 5. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,606
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  chadema muziki munene!
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,985
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160


  Haswaa!! M4c haitawaponesha kamwe mafisadi!
   
 7. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,704
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  karibuni na Kwimba M4c
   
 8. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,390
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Chagua ccm chagua mafisadi,
   
 9. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 13,862
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  bado waukaye Zomba!
   
 10. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Go Chadema
  Go conquer Msoga,
  na Lindi
  na chalinze
   
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,544
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  haya mapuuzi yameng'ang'ania hela zangu za NSSF. I hate you. Na mtatoa tu
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,544
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  haya mapuuzi yameng'ang'ania hela zangu za NSSF. I hate you. Na mtatoa tu mpende au msipende!
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ni upepo tu... utapita-JK!
   
 14. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,605
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Jamani huku kudanganyana mtakoma lini ,mimi nilisikia mia nane !Naona hapa wametajwa kidogo sana.
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  400 kamili ha haa haaa!
   
 16. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ningeshtuka kama source ya habari lingekuwa gazeti la Uhuru.
   
 17. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,645
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  m4c for ever
   
 18. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hao waliozidi wachukueni nyie magamba.
   
 19. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kamili bila chenga utaki ulazimishwi
   
 20. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,643
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Tuliza moyo mkuu, maana kwa hizo hasira!
  Mh, naomba mi nikae mbali.
   
Loading...