Wapenda Mabadiliko wapo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapenda Mabadiliko wapo wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Jul 24, 2012.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Ninashangazwa sana na the fact kwamba Waziri Wa Zanzibar amejiuuzulu kutokana na ishu mbili za ajali za meli katika uwaziri wake, lakini haina heshima wala praise kutoka kwa Wanaharakati kutoka chama chochote cha siasa nchini, wala NGOs! WHY?

  - I mean responsibility ndio quality number one kwenye reforms, sasa leo ametokea kiongozi aliyefanya the impossible hakuna praise, sio kwa wanaharakati tu hata kwenye media hakuna, hakuna a word of courage toka kwa vyama vya upinzani, wala hata media coverage haikugusa sana the topic, that is very sad!

  - Ninapenda kumpa salute Mheshimiwa Waziri kwa kitendo chake hicho cha kishujaa sana, kinatakiwa kuweka msingi wa uwajibikaji wa Viongozi wa juu katika taifa leu, ambao unaonekana kutokuwepo na kuwapa nafasi baadhi ya viongozi wetu kujifanyia tu wanavyotaka na siku zote kuishia kumpa taabu sana Rais wa Jamhuri kuvunja baraza zima la mawaziri, badala ya waziri mmoja aliyeharibu kujitoa mwenyewe kama huyu Shujaa aivyofanya!!

  OUR MEDIA, WANAHARAKATI, NA WAPENDA MABADIIKO KWENYE HII MMEHARIBU SANA TUMPE WAZIRI HESHIMA YA AINA YAKE KUSUDI UWE MFANO KWA WENGINE!!

  - MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!

  WILIAM.
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mambo ya zenji tuwaachie uamsho.
   
 3. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna wanaharakati wa CCM?
  Chadema?
  TADEA?
  NDP?
  CCK?
  Sjawasikia mimi hao watu.
  Labda kwa wewe ni mwanasiasa enlighten us!
   
 4. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Au wale wazee mashehe ubwabwa ndo wanaharakati wa CCM?
  Maybe!
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  William, waziri aliyeachia ngazi anatoka CUF, better late than never, watu walipiga kelele sana wakati wa ajali ya Spixe Islanders lakini hakuachiwa ngazi. Vifo north of 1200 bado akaukashusha then haya ya week iliyopita. As I said, better late than never, lakini alitakiwa kufanya hivyo kitambo.

  Hapo kwenye red, wameishiwa nguvu, Mbagala, Gongo la Mboto, Spice Islander, again, mabasi ya mikoani hii imekuwa kama la kawaida!!!. Hii nchi kuna mambo ya kusikitisha, gari la rais linazimika kwa sababu ya mafuta yaliyochakuliwa (rais akiwa ndani ya gari) lakini hakuna mtu amewajibishwa!
   
 6. Robato

  Robato JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Watu wanatuchukia, kutwa hawaishi kutuombea dua zote mbaya, wanatulaani na kutuita majina yote mabaya unayoyajua dunia bado tu tujipendekeze kwao!? labda wewe Willy sisi wengine hatuwezi kujipendekeza.
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ah zenji si hawataki muungano, hawatupendi watanganyika so hatuna habari nao, mi naona huyo waziri wao kujiuzulu ni sawa na nisikie waziri wa kenya kajiuzulu hainihusu lakini kama ulivyosema anahitaji pongezi japokua angeondoka mapema zaidi...na huyo mpaka amejiuzulu alikua hapati KULA ya kutosha..hawa wa kwetu hawaachii madaraka kwa sababu unakuta yuko kwenye system ya MLO sasa aachie madaraka afu mwenzake aje atafune alichojenga yeye
   
 8. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - great thinkers wanatakiwa kuwa bigger than that bro!!

  Wiliam.
   
 9. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tuna mambo mengi ya kufanya kwa manufaa ya nchi hii...
  Watu wameandamana kushinikiza mawaziri wa Afya wajiuzulu,Mmewafungulia kesi. Wameandamana tena kushinikiza serikali kuchukua hatua juu ya madai ya madaktari, Mmewafungulia kesi. Wameandamana kupinga CDCF, mmewatukana! Wameandamana kutaka mabadiliko,Mmesema Intelijensia yenu hairuhusu!..
  Sasa hivi unawatakia nini?
  Acha unafiki Wille
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ifikie mahali watanzania tuamke na tutambue wajibu wetu na wa viongozi wetu. Hivi inaingia akilini eti KIONGOZI ALIYEJIUZULU KUTOKANA NA KUSHINDWA KUSIMAMIA DHAMANA YAKE apongezwe eti ni shujaa!!? KWELI????,my brother WILLIAM kama umejengeka katika misingi ya namna hiyo ya KUSHINDWA KUWAJIBIKA IPASAVYO THEN USIFIWE eti kwa UAMUZI MGUMU wa kujiuzulu ninaanza Kuutilia SHAKA kubwa WELEDI wako katika uongozi. Nadhani huyu waziri alikuwa anatakiwa kuwajibika ipasavyo na kuzuia maafa ya ajali hizi za meli.. Kiongozi anazembea kutekeleza majukumu yake afu tumpongeze kwa ushujaa wa kukubali kuwa alizembea, kweli WILLIAM?? na wewe ni kiongozi wa namna hiyo na unatamka haya hadharani brother!!!???? Nimeshangaa kauli hizi kutolewa na mtu wa namna yako kaka. WAITRESS two more please! Ì'M SICK
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Baba yako wakati akiwa waziri mkuu Aliachia ngazi?
   
 12. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Tatizo lako unachanganya vitu viwili pamoja, siasa na celebrity, acha usharobalo!
  Mtu amejiuzuru unataka apewe media coverage, are u out of ur mind? Watu kama ninyi ndo hatuwataki kabisa ktk siasa za nchi yetu maana kila siku mnataka sifa za kijinga sana
   
 13. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  You mean he should be praised for fulfilling his minimum responsibility????? Please please be a bit serious........or you meant to be acknowledged for the sake of records???????
   
 14. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ni lini tena wewe na kinje mtachangisha tena hela za watoto wa yatima,na mlipata ngapi.
   
 15. J

  JokaKuu Platinum Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,136
  Trophy Points: 280

  William,

  ..kwanza inaelekea alilazimishwa kujiuzulu.

  ..kumbuka mwanzo aligoma, na hata waziri Mwakyembe alimtetea wakati walipokuwa na joint press conference.

  ..jambo lingine uelewe kwamba waziri huyu amejiuzulu kutokana na uzembe ktk wizara yake ambao umesababisha mamia ya wananchi kupoteza maisha yao.

  ..wanaopaswa kupongezwa kwa kujiuzulu ni wale wanaofanya hivyo kwa kupinga ufisadi na uzembe ktk maeneo wanayoyasimia.

  ..kwa mtizamo wangu huyu waziri alipaswa kutimuliwa. hata ile kupewa nafasi ya kujiuzulu naona amefanyiwa hisani tu.
   
 16. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  Nimemuona KIJO KISIMBA akipongeza hili Channel TEN, sijuhi ulikuwa wapi muda huo.
   
 17. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Only kama tungekuwa na huu utamaduni lakini kwa vie hatuna alitakiwa kupewa heshima flani, na it has nothing to do na unafiki waa anything!!

  Wiilly!!
   
 18. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Baada ya miaka 50 Ughaibuni, ni sawa kuwa na mawazo kama haya!!

  Wiie!!
   
 19. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  le mutuz , ndoto zako za kutafuna wema sepetu zimezaa matunda?
   
 20. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Umechanganya ishus hapa sio mahai pake, by the way tuiapata Shilingi Miioni 5, na ooking forward for the next one ya watoto wa MA-Albino!!

  Willy!!
   
Loading...