Mwenyekiti wa CHADEMA kata na wana magwanda 15 wajiunga na CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa CHADEMA kata na wana magwanda 15 wajiunga na CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BigMan, Jul 23, 2012.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
 2. s

  sangija Senior Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna jipya ww!!!
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hii habari tumeshaijadili hapa. Its a repitition!
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  anaondoka mmoja wanajiunga 100, hahahahahaha. CCM wana kazi mwaka huu.
   
 5. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Havina tofauti yote magazeti ya chama cha mapinduzi!
   
 7. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  kakojoe ulale njaa zenu zitawaua....
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  leo katika kampeni zinaenda kwa jina M4C huko simanjiro chadema imevuna wanachama 1200 sasa wajipime 15 kwa 1200...
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hamna kitu hapo..
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  walihamia CDM bila kujijua bora waondoe kiwingu watu wafanye kazi
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Habari Leo sio gazeti la chama. Ni la serikali. Tumekuwa tukichanganya sana mambo ya chama na serikali na ndio ikasababisha mali za serikali kuporwa na chama. Mfano ni viwanja vya mpira!
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Habari ndiyo hiyo hata kama hautaki. Wamegundua ukweli uko wapi. Na kama hautaki wewe mwambie tu MOD ataiondoa hiyo thread.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wamegungua waliruka mkojo wakakanyaga mavi, tehe tehe tehe.
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kama unaumia mwambie MOD aondoe thread
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Haina gharama hata ikiendelea kujadiliwa tena kwani tunalipia?
   
 17. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,869
  Likes Received: 2,814
  Trophy Points: 280
  Ni haki yao kikatiba! Sikiliza mziki wa Ole Milya kule Simanjiro! KENGEMUMATOPE!
   
 18. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Wewe wa wapi? Uko kijj gan? Au unaingia jf kila baada ya wik? Dogo tuliza akil just think twice ccm imeshalala zaman..
   
 19. N

  Noboka JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,144
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Wana haki kuhama, lakini wamerudi CCM hao wanajambo moyoni, heri wangeenda CUF, NCCR, lakini kwakuwa ni haki yao kikatiba acha waondoke
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nasari hawezi kushinda tena ubunge 2015.hali hii ya watu wake wa karibu waliompigania kuanza kurudi kwenye kundi lao la zamani inawasha taa nyekundu kwa kijana,ajitathmini.
   
Loading...