M4C yavuna 1200 Simanjiro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C yavuna 1200 Simanjiro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Jul 25, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  lema.JPG
  Wakiondoka kwenye viwanja hivyo kuelekea kwenye chopa
  wakipata kadi.JPG
  DSC06823.JPG
  zoezi la utoaji kadi za chadema
  milya.JPG
  Millya akihutubia Kata ya Mererani
  card.JPG
  miongoni mwa vitu vilivyorejeshwa na waliokuwa wanaCCM
  Source: Habari Tanzania Grace Macha
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Magamba wana kazi sana this moment...
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kipele kimepata mkunaji wataisoma namba....walizoea upinza mpaka kipindi cha uchaguzi tu sasa safari hii ni mwanzo mwisho tena kwa speed ya 180...
   
 4. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,738
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Kazi nzuri, hongereni makamanda wote!
   
 5. mtzd

  mtzd Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  m4c inatisha sana.
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Safari hii mpaka chama cha magamba kiende kuzimu.
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Nzuri, iendelezwe kwa mwigulu, ADEN, SITTA, DEWJ NA KWA WAPUUZI WENGINE
   
 8. H

  Hiraay Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba walikuwa wanafanya mambo yao huko Kigoma hivi karibuni. Hivi walivuna magwanda mangapi?
   
 9. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Piiiipoooozzzz,. Poweeerrr,. Lema gogogogoooo
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu mpaka kufikia 2015 hakuna kata ambayo itakuwa haijafikiwa na viongozi wa juu wa chadema haya yalikuwa maneno ya Freeman Mbowe baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 na kusema kama wabunge walioingia bungeni kupitia chadema wanaamini kuwa kazi imeisha wana jidanganya kazi ndiyo kwanza imeanza....
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Pamoja na wewe maana hii vita siyo ya mbowe, Zitto, Lema peke yao bali ya watanzania wote wanaochukizwa na hali ya nchi hii.
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nasikia juzi walivuna 15, huko Arumeru....
   
 13. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Excellent job. Heading yako ingeweka Neno picha (picha; M4C yazoa 1200 simanjiro) ili watu wajue kuwa umeweka picha. Ni ushauri tu. Wengi tunapenda picha kwa kuwa haina ubishi.
   
 14. M

  Malova JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Cha motot watakiona mwaka huu...
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Siku nyingine nitafanya hivyo mkuu....
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Huyu Lema atawamaliza hadi tutoboe 2015!!!!
   
 17. h

  hans79 JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Kazi nzuri sana na hongera kwa usikivu wako pamoja na ushauri ya kuwa jukumu hili si la viongozi tu bali ni letu sote.
  Nasivu pia taarifa zetu hazina longolongo ila za wenzetu ni aibu tupu.Ila nami najipanga kwa kumwomba Rab anijalie nguvu, amani na uwezo ili 2015 niingile mjengoni na pia tuzidi kuombeana ili yale tuyakusudiayo yatimie kwa uwezo wake.
   
 18. M

  Mantisa Senior Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kazi nzuri ila binafsi simuamini kabisa huyu Ole Milya unless awe amebadilika ila kama ni yule ninayemjua basi hakuna kitu hapo
   
 19. L

  Loomu Senior Member

  #19
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I agree with you Kamanda, hii vita ni ya wazalendo wote wa Tanzania. we need fight(diplomatically) until revolution come vifa CHADEMA and M4c
   
 20. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160

  At least hizi kadi za CCM zinaonyesha si mpya, kwa hiyo naweza amini zoezi limezoa ki-ukweli!!! Ongezeni nguvu ili wakimbie viti vyao bungeni!!!!
   
Loading...