Mnyonge myongeni

DK BABA

Member
Jun 7, 2012
14
0
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, zitto ana mambo anayo yasema na kuyasimamia. hachukui posho mpaka sasa
 
kwa hiyo kama achukui posho anafaa kuwa rais wa nchi hii......?? Akili za mbayuwayu hiyo..:nono:
 
inaonesha anavyo simamia kile anacho kisema na kukiamini na hii ni sifa ya kiongozi bora
 
Unajua kuna mambuzi flani humu jamvini wanashindwa kutumia akili zao vizuri tulishasema dr slaa ndio rais wa 1215 na si vindenevyo
 
Back
Top Bottom