Kujiuzulu kwa wa cuf.chadema ni 100%?. Mtendaji gani wa chadema amejiuzulu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujiuzulu kwa wa cuf.chadema ni 100%?. Mtendaji gani wa chadema amejiuzulu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Jul 25, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chadema imepenya hadi vijijini kwa sasa. Hivi kuna kiongozi wa ngazi yoyote wa Chadema aliewahi kujiuzulu kwa kushindwa kutumikia angalau chama chake tu? Mikoa kama Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na mengine wananchi wamewaamini Chadema.lkn matarajio yao yamepungua sasa kwa asilimia kubwa
  Kwa mfano, ufisadi wa chama ngazi ya tawi, kata na Wilaya.
  Kushindwa kusimamia Matakwa ya wananchi hasa kwa madiwani, Wenyeviti wa halmashauri, waziri vivuli au hata makatibu wa jimbo.
  Jee chadema ni asilimia mia?
  Hongera Cuf kwa kuonyesha Mfano
   
 2. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Arusha kumbuka walisimamishwa madiwani watano baada kushirikiana na maghamba kupitisha naibu meya kitendo kilicho onyesha wamepokea rushwa toka kwa maghamba, upo hapo????

   
 3. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wamekihujumu chama? na sio maendeleo ya taifa. hapa sawa na CUF Na hamad rashid
   
 4. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,481
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  We uliyeleta huu uzi ni mpuuuuuuzi kupindukia kwa nini usihiusishe CCM na kujiuzuru unahiusisha CDM serikali iliyo madarakani ndiyo inapaswa kuulizwa, madudu mangapi yamefanyika na hakuna uwajibikaji kwa kiongozi yeyote. usipende kuleta hoja za kishamba, kimbea, kimajungu, na wakati mwingine we unaweza kuwa mchawi ndo maana fikira zako ndogo kiasi hicho.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Acha hasira mbona kasema ukweli mtupu. CDM hawawezi kufukuza mtu kwa vile wote ni wanandugu.
  Unategemea SLAA amfukuze Josephine?
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  HUYO WA CUF si alijuwa WAZIRI? MPENI WA CHADEMA UWAZIRI MUONE KAZI MAFISADI WOTE JELA na HAKUNA

  HIZO MELI KURUHUSIWA KURANDARANDA
   
 7. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu mafanikio ya MWANAMKE nyuma yake kuna MWANAMUME,kwani mkeo awezi kufanya jambo kwa niaba yako?kumbuka cuf na ccm niwana ndoa!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa chadema wajiuzulu wameharibu nini?yeye alikuwa na mamlaka matatizo yametokea sharti ajiuzulu.hata hivyo hongera kwake.
   
 9. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  chadema bana inatiiiiiiiiiiiiiisha kila mtu anaiwaza.watajiuzulu vipi wangali hawana madaraka.
   
 10. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chekecha kichwa utoe hoja yenye mashiko na jitahidi kuzama katika ufikirivu zaidi hapa sio facebook
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  CUF bado wanakula ruzuku inayotokana na Hamad Rashid kuwa mbunge acha mboyoyo wewe!
   
 12. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,318
  Likes Received: 2,680
  Trophy Points: 280
  Cuf wamejiuzuru kutoka kwenye serekali ya ccm.cdm wajiuzuru kutoka kwenye serekali ya nani?.mambo ya kujiuzuru ndani ya chama ni siri ya chama siyo lazima ya tangazwe na silazima kila mtu ajuwe yataendelea kuwa siri ya chama tu.
   
 13. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mleta mada akiki yake ina matundu ambayo hayawezi kuzibika na mwenye hyo akili kwa hiyo kwa msaada tu ni kwamba cuf au ccm b wamo kwenyeselikali kwa hiyo wanahusika kwa namna moja au nyingi katika kujiuzulu kwao naza ingekuwa ni cdm ajari ya kwanza tu watu wangeachia ngazi bla kushinikizwa.
   
Loading...