Huyu ndiye Rais mtarajiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ndiye Rais mtarajiwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibunago, Jul 25, 2012.

 1. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa kutumia chombo cha kupembua pumba kutoka nafaka kiitwacho Truth-JFmeter. Katika kipimo cha efficient leadership scale yafuatayo ndiyo majibu ya uwezo alionao Mheshimiwa Zitto Kabwe katika nyanja ya Uongozi katika baadhi ya sifa zifuatazo:-


  Intelligence: below average 100%


  Creativity: 70%  Vision for development: 50%  Fairness: 30%


  Magnanimity
  (spreading the fame and take the blame): 10%


  Integrity: (integration of outward actions and inner values) 2%


  Humility: (not self-effacing): 0.5%


  Mifano:

  Mtu anayesema si muda wa kujadili Urais, kabla ya saa 24, anakanyaga matapishi yake na kuanza kujinadi bila aibu katika nafasi ambayo haiko wazi wala Tume ya uchaguzi haijaruhusu mtu kujitangaza, tena Bungeni (sio jukwaa la kampeni) na wakati usiohusika (kikao cha kujadili bajeti ya Wizara); kheri hata ingekuwa mswada wa mgombea pekee aseme alikuwa anajitolea mfano. ü Mtu wa kukusanya saini za Wabunge kwa mbwembwe ili kumwondoa Waziri Mkuu katika kikao cha Bunge tokana na Mawaziri na Watendaji Serikalini na Taasisi za umma kushindwa kuajibika kasha Bunge lifuatalo anakula u-turn na kuanza kumtetea Mkurugenzi wa TANESCO anayetuhumiwa kwa ubadhilifu mwingi akisukumwa na wenye majenereta na wenye tenda za kuiuzia vifaa na mafuta TANESCO kwa bei chafu.


  Mtu ambaye mara nyingi hawezi kusema SISI CHADEMA bali kuendelea kusema MIMI Zitto na mara nyingi wenzake kama Chama wakiwa pamoja katika jambo fulani (mf. Kampeni n.k) yeye atakuwa hayupo na kupata visingizio; mkiwa katika kujadili mambo ya maslahi ya nchi yeye atatafuta namna ya ku-divert mwelekeo kwa kuanzisha topic zisizo na mashiko zinazomuhusu.  Mtu anayeweza kuwazunguka Waheshimiwa Vijana wenzake na kuwa hamashisha wamuunge mkono kwenda kwao Kigoma akitanguliza dhumuni la kuwanyanyua Wasanii wenyeji wakati nyuma ya pazia na ndani ya roho yake anakusudia kuwatumia vibaya waheshimiwa Mnyika, Nassar & Halima waseme kuwa anafaa kugombea Urais akitegemea kuzua tafrani ndani ya CHADEMA kwa kusisitiza kuwa analiamini gazeti zaidi kuliko kauli za hao wenzake.


  Si mwingine bali ni Zitto anayejinadi leo kuwa ana uweza kuwa Rais wa nchi. Pamoja na kumwogopa kama ukoma mtu anayekimbilia Ikulu kwa nguvu zote, sasa tunamwogopa Zitto Kabwe zaidi kwa kuanika uwezo wake wa kuongoza ambao ni kiduchu kabisa na uhatari wake kutokana na tabia yake iliyofichuka ya ku- flip-flop!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mmmh!

  Hapa wala sihitaji darubini kujua kuwa siye.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  100 asilimia.
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  naomba hata nisiseme neno hapa manake nimeshalijadili sana hili swala na mkirua so niwe mtazamaji na msomaji tu hapa.
   
 5. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nyie watu wa CCM kwanini mnataka kuteka umati wa watu ili Zitto achukiwe na CDM? Mbona CDM wenyewe hawajawahi kutamka hayo mapungufu ilihali wao ndio wamemlea na kumkuza kumkomaza kisiasa? Acheni majungu make mjadili yenu
   
 6. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wadau wa jf nimeshasema narudia tena kwa wale ambao hawajasiki rais ajae ni DR SLAA na si mwingine embu kuweni waelewa basi nadhani sito rudia tena DR SLAA ndio rais ajae chadema wasipi mpitisha wajuwe wamekosa kura yangu na ya mpenzi wangu


  nafunga mjadala
   
 7. m

  majebere JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Mimi naona sasa JF ibadili jina iwe Zitto Forum. Vijana acheni kutumiwa,haya makundi ndani ya CDM ndio yanawatuma kuleta topic za Zitto mpaka mtajaza server ya JF
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  waache nao wajichanganye, tunawamwaga tu, 2015 ntapigia hata SAU.

   
 9. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Punguzeni majungu embu fanyeni kazi, jamani urais sio post inahitaji professionalism khaaaaa

  Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
   
 10. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tired of this info of zitto... bora niipigie ccm kura yangu kuliko huyu kibaraka maana nikimpigia yeye ni sawa na kuipigia ccm.
   
 11. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana mnafiki km zitto inabidi tumchukie sn.
   
 12. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  100% sure
   
 13. proisra

  proisra JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Zitto anafaa kuwa rais, lakini akeshaoa MKE MMOJA.
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  mii nafikir itabid nifufue NRA manake ndo labda kitakuwa mkombozi. Hivi kweli haiihitaj hata digrii kujua kwamba upinzani wa tz haupo kwa maslah ya taifa bali kwa maslah ya madaraka. hebu angalia nguvu iliyokuwa na yo NCCR-mageuzi, haikulast ikaja CUF, nayo haikulast sasa CDM matatizo yote yaliyojitokeza kwenye hivi vyama yalikuwa ni maswala ya madaraka na nani awe mgombea uraisi so muda mwingine ni bora tena na CCM ambao watakuwa na mchakato kuliko hawa yaani ni full confusion. duh!!!
   
 15. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  umekata tamaa sio?
   
 16. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mkuu maelezo uliyotoa hapa kuhusu Zito yana ukweli wa hali ya juu kabisa with 0.1 level of significance.. lakini hata hivyo mhusika anao muda wa kujirekebisha we still hv 3 years to go..
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  tatizo huyu dogo anataka kuokoka kuliko mchungaji wakati hata neno hajaiva kihivyo.

  Pure CCM D huyu, ukimchanga lazima ana vitone vya green.

   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  convering au diverging???

  +ve au -ve relationship?

   
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  sijakata tamaa mkuu ila najipanga tu bora na mimi nije na changu kama mbwai na iwe mbwai
   
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  unajua my dearest Kongosho wanasiasa wa kibongo wanaboa sana yaani yeye anataka kusema kwamba ndiye mtu ambaye kila siku ana matatizo tu uko cdm sijui kwanini we yeye tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...