umuhimu wa maafisa uhamiaji katika vitambulisho vya taifa!!

Gwaks makono

Senior Member
Aug 27, 2011
110
16
katika zoezi la usajili wa vitambulisho vya taifa linaloendelea hapa jijini Dar es salaam imeonekana watu wengi ambao sio raia wa Tanzania wanapeleka kadi ya kupigia kura kama kiambatanisho wakati sio raia wa Tanzania wala hawaishi kwa vibali na maafisa wa NIDA inawawia vigumu sana kuwatambua raia wa NCHI Zinazotuzunguka kwa hiyo napendekeza pamoja na kuwapo afisa wa nida awepo pia afisa uhamiaji.
 
Back
Top Bottom