Wajibu wa mwanachama wa chadema

mashami

Senior Member
May 8, 2012
183
27
1.Kushiriki kikamilifu katika vikao vinavyomuhusu na katika shughuli nyingine za chama kadri anavyotakiwa.


2.Kuchangia gharama za uendeshaji chama kwa njia ya ada ya uanachama ya kila mwaka na kwa michango mingineyo inayoamriwa na vikao vya chama.


3.Kutetea na kueneza itikadi,falsafa,na madhumuni ya chama ndani ya jamii anamoishi.


4.Kushirikiana na wanachama na viongozi wengine wote katika kutekeleza sera na mipango ya chama.


5.Kuwa tayari kupambana na namna yoyote ya uonevu,ukandamizaji,udhalilishaji na ubaguzi.

T2015CDM
 
Back
Top Bottom