Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Tunawapenda tunawajali tunawahitaji.wakowapi?????????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Jul 27, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,822
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Walitetewa sana walionekana miungu watu sasa wanaumbuka.kwa taarifa tu kesho ngeleja atachagia bajeti hii bungeni na atakuwa mchangiaji wa tatu,tukae tayari kumsikiliza mzalendo huyu na shujaa wa ccm.wana ccm wote tujiandae kusukuma gari lake.
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,755
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hata hivyo wamechuma aisee!
   
 3. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,316
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  hatakuwa na jipya.
   
Loading...