Komba arejea toka India | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Komba arejea toka India

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIQO, Jul 27, 2012.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ameunganisha viti vya plastic viwili du! angeendelea na kile kitoto mbona angekiua kabisa
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  kale katoto kazi yake kubwa ilikuwa ni kumfanyia BJ...
   
 4. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mama kubwa.
  Baba kubwa.
  In short, WAKUBWA.
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu jamaa anatambua hizo kilo 90 au 100 bado si salama kwake? ... hapo alipo anakalia viti viwili viwili loh!
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kilo 138 ni nyingi sana, I hope Mh Komba ataanza kuongelea madhara ya uzito na vyakula.
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Apunguze kula kiti moto na kuku bila kusahau bia
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ila tu kwa tabia yake kimahusiano ilivyo mbaya ningekuwa mke wake nisingeambatana naye hata kidogo!!! Liwalo na liwe!!!
   
 9. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ameshaenda kumtembelea lulu lakini..na huyu mbunge hela zote za walipa kodi tunazompa pamoja na zile anazochakachua hawezi hata kununua vitambaa vizuri vya hayo makochi?
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kheee huyo pembeni yake nani?hahaaaa au ndo my wife wake....omba kumbe hujui kuchagua bana..mbwembwe za bure tu aaaghh
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kula baba kula uongeze mwili hahaaa pressure inapanda pressure inashukaa hahaa(kimpoki mpoki)!!!
   
 13. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kwani na yeye si mtanzania!! kwanini asingetibiwa muhimbil au KCMC??
   
 14. paty

  paty JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  naona kitambi kimeongezeka, ili alienda kwa matibabu ??? ngoja nkachek web ya bunge utakuta amerudi na Phd toka india ha ha ha ha ha, maana hawa magamba ni wasengerema sana..
   
 15. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Huyu kakulia nyakati ziizomtambulisha mwenye kitambi kama mtu aliyefanikiwa kimaisha. Kuna jamaa mmoja aliangalia picha ya Nyerere akasema alikuwa na afya mbaya eti kwa kuwa hakuwa amenenepa. Bado tunao wajinga wengi sana.
   
 16. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hiyo point MKUU,HAPO NDO UTAONA NI KIASI GANI MTZ WA CHINI HATAMBULIK?? KWA NINI MGOMO ULIPOTOKEA WAGONJWA WOTE WASINGETIBIWA NJE KAMA HUYU KOMBA???
   
 17. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hivi ni watanzania wangapi ambao walikosa huduma na hatimaye kufariki kutokana na mgomo ambao ulisababishwa na uzembe wa serikali??

  Mbona wagonjwa wote hawakupelekwa India bali waliachwa wafe kwa kukosa huduma??

  Ni pesa ya nani iliyotumika kumpeleka India Mh. Komba kama siyo jasho la watanzania ambao wao walikuwa wanateseka pale Muhimbili au kufariki na kumbe ikiwa pesa ipo ya kuwapeleka India???

  Je, pesa ilitumika kwenda India isingelisaidia kuboresha Hospitali zetu ili siku nyingine Komba asipelekwe India tena bali afanyiwe upasuaji hapa TZ?


  ===mwenzenu machozi yananitoka kwa kusoma hii habari, siitaki hata kuiona tena hii thread.

  Kwaherini nitachangia thread zingine lakini siyo hii inaniuma sana!!!  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 18. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Ila ndo nchi yetu hii..bora punda afe zigo lifike!!! tukutane kwenye thread nyingine hii inachefua!!!
   
 19. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Bro una MACHO! Wahenga husema mshahara wa dhambi ni maiti.
   
 20. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,931
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  unene+uzito= magonjwa.
   
Loading...