Kuweka Utaifa na Uwazi JK wape Upinzani Wizara ya Madini na Nishati! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuweka Utaifa na Uwazi JK wape Upinzani Wizara ya Madini na Nishati!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Feb 19, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Serikali ya Kikwete imeshindwa kabisa wizara ya nishati na madini kwasababu ya mikataba mibaya. Sithani kama Kikwete ataweza kuwakemea mafisadi wa mikataba kwasababu wengi ni marafiki wake lakini kwa kuweka taifa mbele ange wapa uwaziri na unaibu wapinzani. Hii ingeleta utaifa kwenye swala hili muhimu na vilevile kwasababu JK hawezi kuwakemea rafiki zake angeweza kusingizia maamuzi mazito kwa upinzani na hivyo kunusuri nchi yetu. JK weka nchi mbele!!
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  manidi ni nini..?
   
 3. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  The Best Crap 2011!
   
 4. n

  niweze JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inategemea upinzani tunazungumzia nani? Cheyo, Mrema na CUF I don't think I will Ever call them Upinzani....Upinzani wakishirikishwa kwenye serikali ya sasa, mengi yangebadilika. Kwa sasa itabaki ndoto kwani ccm wanataka kulinda document za vitu walivyoiba na wanavyoendelea kuiba Taifani mwetu.
   
 5. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  harafu ndo iwe serikali ya mseto ama umoja wa kitaifa?na katiba je?
   
 6. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  bado ni wazo zuri
   
 7. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145


  Jk(dhaifu) kuweka nchi mbele siyo kuachia wizara moja tu, aweke nchi mbele kwa kuachia kila kitu!
   
 8. H

  Hon.MP Senior Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe hukusikia wapinzani wenyewe wanasema kuwa baadhi ya wabunge wa CCM na wa Upinzani wote walivuta?

  Swala si upinzani bali mtu anayeaminika na anayetambua kuwa Wananchi ndiwo waajiri wake. Mbona Zitto ni wa upinzani ni ni mtuhumiwa namba tatu baada ya Mhando na mkewe?
   
Loading...