CCM yajiandaa kufukuza wawakilishi Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yajiandaa kufukuza wawakilishi Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king roja, Jul 22, 2012.

 1. k

  king roja Senior Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati mchakato wa kukusanya maoni kuhusu katiba ukiwa unaendelea. Jana na leo kulikuwa na semina ya wawakilishi kuhusiana na katiba, wapo baadh ya viongoz kutoka CCM wamekuwa wakitaka kwa wazi uvunjike muungano. Vile vile chama cha CCM Wilaya ya mjin wamefanya mkutano na wakaligusia suala hilo na wakatoa pendekezo kwamba endapo wataendelea kujadili masuala ya muungano watawavua haraka uanachama wa CCM.
   
 2. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Wazenji semeni ukweli na mnachokitaka,katiba mpya ikipita hatutaki kelele tena,sisi wenyewe tunataka tanganyika yeeeeeeeeeeetu!
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mlipiga waislam wanaomba dua mlitegemea nini?
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280

  Aisee sikujua kumbe wajuzijuzi humu??

  Join Date : 19th July 2012

  Posts : 153
  Rep Power : 171
  Likes Received11

  Likes Given1
   
 5. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Kwani hiki ccm kingalipo huku z'bar kwani wao ni adui namba moja ya z'bar hatukipendi wala hatuna imani nacho na kuwafukuza uwanachama hao wawakilishi hawawezi na wakithubutu ndio kaburi lake
   
 6. k

  king roja Senior Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama niwe nimejiunga jana cha umuhimu wakat hii ni forum na kuna jambo lililojitokeza Tanzania hii nina haki ya kuliandika, me nazan sikuvuka mipaka ya uandishi that why haki hiyo ninayo au kuandika kitu ni kwa nyiny wa zamani tu?
   
 7. k

  king roja Senior Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama niwe nimejiunga jana cha umuhimu wakat hii ni forum na kuna jambo lililojitokeza Tanzania hii nina haki ya kuliandika, me nazan sikuvuka mipaka ya uandishi that why haki hiyo ninayo au kuandika kitu ni kwa nyiny wa zamani tu?
   
 8. M

  Mzenji73 JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  "mbara! hapa ndio mnaponimaliza, kumbe juu ya 'udebwedo' wetu waZnz, bado unakaa kitako umekunja mikono na kusema 'tunataka Tanganyika yeeeeeetu!' ala! simama toka nje uipiganie, tukisema sisi waZnz ndio walimu wenu wa kila kitu ndo maana hamtaki kutuwachilia tupumue, tutakuwa tunakosea? .... Sisi tunachokitaka tushakisema wazi ni kuuvunja tu huu muungano wa dhulma, hujatusikia wana Uamsho? na kama kweli nawe waitaka Tanganyika yako kihaqi lillahi tuunge mkono, au ndio 'alshabaab?' wasikilize voumbe hao basi wanataka kuwafukuza uanachama jamaa zao wenyewe ati tu kwa kuwa wanataka mamlaka kamili ya Znz, kwa mawazo yako wataacha kutumia mwanya kila wakiupata kutubambikizia fitna mbaya sisi wanaUamsho? akili kichwani mwako"

   
 9. M

  Mzenji73 JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  "kaka king roja, endelea kutupa kile nini fikra zako kinaona, usishughulikie mtu baada ya kuchangia/kujibu hoja anajadili mtu binafsi, uwe wa leo mathalan basi huna tofauti na wale wa jana, achana na dharau za kijinga"
   
 10. M

  Mzenji73 JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  "wanasahau zama za vitisho zimepitwa na wakati, ila nafahamu wapo ccm walio wazalendo wa Znz, kindakindaki, wengi wetu tulikipenda hicho chama zamani, lakini baada ya kugundua lengo lao tumekiwacha zamani"

   
 11. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Siku ya uhuru inakuja,

  Bhaharesa jiandae kurudi kwenu Zanzibar,
  Abdu Jumbe, Ali Hassan Mwinyi,
  Wapemba na viduka vyenu,
  Watwanga juice ya miwa,

  Mtahitaji passport kuja bara,
  Umeme jiandaeni kununua majeneta yenu,
  Dar itakuwa ughaibhuni,
  Nyama kutoka bara itakoma kuja kilaini.

  kuna mengi,mengi mno.
   
 12. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Kwa namna hii mi naona inatupasa tulitazame kwa kina swala hili. Hata mimi naona faida za Muungano ni nyingi kuliko kelo. ulizozitaja mkuu ni baadhi tu,ila ziko nyingi hata zile za kiusalama na kijamii. watanzania hasa wale wa visiwani nawashauri msiupime muungano kwa kuangalia matatizo yaliyopo tu, hamtafikia kwenye majibu sahihi. Orodhesheni kero zote kisha orodhesheni faida(manufaa) zote ambazo sidhani kama mtazimaliza, kisha chagueni mbichi na mbivu. Hao wanaowatajia kero ili kuwashawishi tuvunje muungano waambieni wawaorodheshee na faida za muungano pia.
   
 13. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Kuna Wazanzibar karibu 400,000 huku bara,
  wanaishi raha mstarehe wanabiashara zao,
  wengine ni waajiriwa.
  Rais wa pili wa zanzibar anaishi Dar,
  Rais wa 3 wa Zanzibar anaishi Dar,
  Hata Marehemu Abdul Wakil naye aliishi Dar,

  Zanzibar kuna karibu Watanzania takriban 300,000
  wengi ni Watumishi wa serikali na mashirikaa bnafsi.
  wapo waliofanya kazi Zanzibar sasa wamestaafu wanaishi huko.

  Muungano ukivnjika leo,
  Kunapatashika nyingi tu,

  serikali 3 zinaweza kuwa suruhisho la muda.
  Serikali 1 ndiyo dawa ya kudumu.
   
 14. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamedanganywa kuna mjomba wao huko wanakotokea wafuga ndevu kuwa kuna watu wana visima vya mafuta kila mzanzibar atapata mijihela ,tende na watoto wao watasoma bila kulipa chochote mpaka chuo kikuu!!!wamejiandaa kula kulala bureee kinachotakiwa wavunje muungano tu.mpaka karne hii kuna wajinga wanadhani wanaweza kuishi bila kazi
   
 15. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Natamani muungano uvunjike hata sasahivi! Unless aje mtu anishawishi kwa kuniambia faida tunazozipata watanganyika kwa huu muungano!
   
 16. m

  mkataba Senior Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ali Hassan Mwinyi kwao ni huku huku Tanganyika Zenji alienda kutafuta maisha na elimu tu kama Wapemba hapa Dar.

  Sijawahi kumsikia Mzanzibari akijinasibu kuwa yeye ni Mtanganyika hata kama kaisha hapa miaka 30 yy anasema ni Mzanzibari,

  Kwanini sisi Watanganyika tunajinasibu Uzanzibari na kuukataa Utanganyika wetu ????? Munatuhuzunisha Mabwana.
   
 17. m

  mkataba Senior Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Tuwacheni uongo wakati mwengine, Wazan'bar waliopo hapa Tanganyika hawafiki hata 100000. Wengi wao wanakuja na kurudi kwa biashara zao kama wanavokwenda Mombasa Kenya
   
 18. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  This is estimation,
  Tarakimu iliyotolewa miaka karibu 5 iliyopita ilikuwa 350,000. 35% ya population ya Zanzibar
  Easily kunaweza kuwa na Wazanzibari 500,000 ukijumrisha wale wanaokuja wanakaa wiki wanrudi Zanzibar. 50%
  Lakini hata kukia na Wazanzibari 75,000 ,kitu ambacho si kweli,hiyo ni karibu 8% ya waZanzibari wote si idadi ndogo.
  Idadi ya Wazanzibar Tanganyika inaashiria jambo fulani, bila Tanganyika msosi inakuwa shida kidogo huko unguja.

   
 19. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wafanye fasta turudi kwenye uchaguzi.............
   
 20. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Kwanza kwangu mimi maisha bila kazi naona ni mateso zaidi kiliko hata kulemewa na kazi. Watafurahi sana. Hivi hawajifunzi jinsi nchi za Uganda na Kenya zilivyoyumbishwa na migogoro baada ya kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 77? Haraka sana wakaomba Muungano tena. Au hawaoni jinsi Burundi walivyotulia baada ya kujumuishwa kwenye EAC. HAKIKA NAWAAMBIENI MKISHAUPATA UZANZIBARI KITAKACHOFUATA NI UPEMBA NA U-UNGUJA. Si dhani kama sisi Watanganyika tutakuwa tayari kupokea wakimbizi toka huko, Tutawakataa kidogo.
   
Loading...