Hawa ndo wasiokubalika kwa kauli zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ndo wasiokubalika kwa kauli zao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chiya Chibi, Jul 26, 2012.

 1. C

  Chiya Chibi JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kutokana na utafiti wangu binafs kwa kipind cha mwez mmoja uliopita mpaka leo, wafuatao ndio waliotoa kaul ambazo wanaJF (siasa) walizipinga ama hazikukubalika kabisa ama zilileta mashaka. Wapo waliotoa kwa makusud na wapo waliotoa kauli hizo eidha kwa bahati mbaya au kwa kutokujua.
  1. Spika Ane Makinda
  2.Mwanasheria mkuu Werema
  3. Afande Kova
  4. Naibu Spika Job Ndugai
  5 Ephraim Kibonde wa Clouds
  6. Afande Zoka
  7. Afande H. Msangi
  8. Mwigulu Nchemba (Mb)
  9. Mkurugenz NSSF
  10 Shekh Ponda
  Nipe orodha yako.
   
 2. c

  chama JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Dr. Slaa
   
 3. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Zito Kabwe
   
 4. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  ...na bosi mwenyewe je.....??????????
   
 5. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Pinda-Liwalo na Liwe.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona umerudi njaa kali umeingia shift ya asubuhi nini?
   
 7. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 849
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  siyo bure, utakuwa umetumwa wewe.Toa kauli uliyoona haikubaliki.
   
 8. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mutula Kilonzo
   
 9. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Jk ,kuzungumzia swala la dr lililo mahakamani
   
 10. k

  kicha JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  hapa ndo inaponikera jf kua na ushabiki wa siasa hata penye ukweli hujifanya hawauoni, hivi kweli huu uzi unakosa hata kauli za wapinzani ambazo kwa sasa nigumzo? aaaagggghhhh mna boa bwana , simameni kwenye ukweli ili jukwaa liheshimike sio kukurupuka tu na mapenzi ya vyama vyenu, nyie ndio mnaofanya sote humu jf tuonekane kijiwe cha umbea na majungu.
   
 11. l

  leloson Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vema ungetoa jina la mtoaji kauli na kauli yenyewe, vinginevyo ......passingby
   
 12. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  EL na RA
   
 13. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Kwenye blue huo ni uozo kabsa unatia kichefuchefu

  Kwenye nyekundu wanatumia makalio kufikiri
   
 14. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Huyo No.9 nadhani ni mkurugenzi SSRA sio NSSF
   
 15. J

  Jizalendo Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati imebakia miaka mitatu na nusu tu kupata Rais mwengine Tanzania, kwa maendeleo ya nchi yetu katika karne hizi kuna viongozi wawe wametangaza au hawajatangaza nia ya kuwa Rais wa nchi yetu hawafai. Tafakari kwanza kabla hujapinga na ongeza majina bila upendeleo wa aina yoyote. Maneno ya kashfa yanapotajwa majina hayatosaidia:
  1. Kabwe Zitto
  2. Lukuvi
  3. Lowassa
  4. Nahodha
  5. Mbowe
  6. Sitta
  7. Tibaijuka
  8. Huseni Mwinyi
  9. Pinda
  10. Magufuli (labka Waziri Mkuu)
  11. Wassira
  12. Slaa
  13. Aman Karume
  14. Maege
  15. Shibuda
  16. Membe
  17........
  18......
  ..........
  .........
   
 16. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  I wonder why you didnt include the name of ylur own dady.
   
 17. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  true that even me i wonder
   
 18. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,190
  Likes Received: 3,427
  Trophy Points: 280
  Joseph Mbilinyi (Sugu) for president 2015.
   
 19. peri

  peri JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mi ndo nafaa coz sipo kwenye list.
  Ngoja nijiandae
   
 20. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Baba yako Mzazi hujamuweka
   
Loading...