Gazeti la MwanaHalisi Kufungiwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la MwanaHalisi Kufungiwa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Jul 28, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wadau,

  Kwa Habari za Uhakika toka Serikalini, ni kuwa Gazeti la Mwana Halisi litafungiwa. Yawezekana ni kwakuwa limekuwa likiandika Habari zisizowapendeza Watawala.

  Kwa Mujibu wa Mtoa Taarifa, tayari Wizara imepata baraka zote toka Ngazi za juu na hatua za kisheria zitafuata punde ikiwemo Mhariri wake na mmiliki kufikishwa Mahakamani kwa kuingilia uhuru wa Mahakama (time will tell)
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Yeah.. hii habari ya juzi ya Usalama wa Taifa ni lazima itakuwa imewakoroga vya kutosha. Hakuna uamuzi mwingine isipokuwa kulifungia gazeti. Sad.
   
 3. O

  Ogah JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  badala kuchukua hatua za kujirekebisha pale mlipokosea.......sasa mnataka kufumua kila kitu....another fatal mistake!......hii "senema" itakuwa bomba......ngoja nijiandae......tik tak tik tak tik tak...........
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,489
  Likes Received: 81,784
  Trophy Points: 280
  Usalama wa mafisadi bana Mwanakijiji, Tanzani hakuna usalama wa Taifa kama ungekuwepo nchi yetu isingefikia hapa tulipo.

   
 5. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Rotten tz...!
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu BAK kama umefanikiwa kucopy uzi uliofutwa muda si mrefu naomba unitumia maana nimekuona na Masanilo sikubahatika kulisoma gazeti la mwanahalisi..kwa kumbukumbu nitalisaka hili gazeti mpaka nilipate maana limeweka kila kitu wazi na kuiacha usalama wa ccmabwepande uchi...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mhamiaji Haramu

  Mhamiaji Haramu Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jf itaendelea kuwa jukwaa huru la habari, au wanaweza ifungia jf?
   
 8. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu Crashwise ltafute hile gazeti

  habari ile ilikuwa ni soo, iko very detailed mkuu. Nimejiuliza hivi mchapishaji nae si anaweza kuingia matatani kwa hili kweli?
   
 9. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inatisha!
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Lifungiwe mara ngapi mbona limeshafungiwa Mkuu Mzee Mwanakijiji


  Warning: require_once(./includes/bootstrap.inc) [function.require-once]: failed to open stream: No such file or directory in /home/halisi/public_html/index.php on line 23

  Fatal error: require_once() [function.require]: Failed opening required './includes/bootstrap.inc' (include_path='.:/usr/lib/php:/usr/local/lib/php') in /home/halisi/public_html/index.php on line 23

  Chanzo:
  http://www.mwanahalisi.co.tz/ Unacheza na Serikali za Kiafrika? Ukisema ukweli utauliwa au kufungwa jela hii ndio salama kwako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hapo ndipo akili za watawala wetu zilipoishia.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...