Wana JF!!
Mnalionaje hili swala la serikali kuwa n trend ya kutoa makaripio kwa kila kikundi kinachokuwa kikilalamikia hali na mwenendo wa mambo katika sekta mbalimbali? Je wananchi hawana haki ya...
Kuanzia tarehe 1 July 2012 (mwaka mpya wa fedha) malipo ya fedha katika Halmashauri yamesimama. Hii imetokana na TAMISEMI kutaka kuanzisha mfumo mpya wa malipo ambao unakuwa centralized. Ina maana...
Ziara ya M4C iliyoongozwa na kamanda John Heche imedhirisha dhahiri kuwa ili CCM ishinde katika uchaguzi wowote hapa Njombe itafanya kazi ya ziada.Kuna kila dalili kwamba wilaya ya Njombe sasa iko...
Idara hii ni nyeti kuliko mtu yeyote anavyoweza kufikiri, ila imekuwa ikiiendelea kunyong'onyezwa kwa makusudi kabisa au kwa kutokujua (ujinga/makusudi?) ya viongozi wa serikali. Idara hii ndiyo...
Kila kona ya nchi sasa hivi kuna vilio. Sio watoto sio wazee, si kina mama si kina baba wote wanalia. Wanalia juu ya hatma ya maisha yao yatakuwaje. Wengi hawajui kesho wataamka vipi.
Lakini cha...
Wakwanza, wapili na watatu kwa ukaribu ni MAMA (Ngazi tulizotelemkia), BABA ni wanne. (Kuna mheshimiwa kasema bungeni na SPIKA kaunga mkono). Tuheshimu mama zetu jamani.
Migomo inayotokea sasa ni kutokana na watanzania wenyewe kutojitambua. Wakati wa mgomo wa madaktari baadhi ya watu walikuwa wanawalaumu madaktari baadala ya kuilaumu serikali.
sasa walimu...
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa alisema:
"Nalaani kitendo cha wabunge kuhusishwa na ufisadi hasa ikizingatiwa kwamba Chadema tumekuwa...
Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo ameonekana kuwa bize na kuchati na simu yake ya mkononi huku akiwa anaongoza kikao cha bunge.
Ndugai ameonekana akitumia muda mwingi...
Kama habari iliyoandikwa na mwandishi Exavery Mzuzu wa Dira ya Mtanzania itakuwa kweli, basi sakata la zabuni ya mafuta TANESCO litachuma mapesa mengi kuliko linavyodhaniwa kuokoa. Mwandishi huyu...
Rejea operation "Lowassa" ya shule za kata.
Zahanati kila kata na kila kijiji inawezekana kabisa tatizo ni wafanyakazi.
Solution:
Kila mkoa ama wilaya jengeni vyuo vya elimu ya afya kwa ajili ya...
Katika kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama cha CHADEMA kilichokaa juzi siku ya jumatatu, kilichoanza asubuhi na kumalizika saa tisa usiku, kilikuja na maazimio manne. Azimio la kwanza ni...
UFISADI WA KUTISHA WILAYA YA CHUNYA
Kwenu viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA),tunaomba msaidie kuongelea wananchi wa wilaya ya chunya mkoani mbeya,kuna mtumishi wa...
Hii sikuielewa vizuri, jana Mh Mwinyi kasoma bajeti yake, hivi imepita bila kikwazo na madudu yote tuliyoyasikia mpaka madokta kugoma na dk uli kutekwa? Tumeshupalia walimu na wala rushwa bungeni...
Napata wakati mgumu sana wa kufikiri kama kweli sisi wananchi na serikali yetu tuna dhamira ya kweli ya kutoka hapa tulipo kwa sasa na kuelekekea kwenye maendeleo ya kweli kwetu sisi wenyewe...
Serikali inawakata wafanyakazi karibia 30% ya mapato yao ya kila mwezi kama kodi ya kichwa (PAYE) ili ijinunulie magari ya kifahari ya viongozi na pia matibabu nje ya nchi. Sasa serikali inataka...
Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA kupitia viongozi wake wakuu John Heche na Deogratia Munishi jana lilimmwagia ***** mkali Spika Anna Makinda jimboni kwake Njombe kusini. Katika mkutano wa...
WAKATI walimu wakianza mgomo wa kutoingia madarasani jana, serikali imesema
kuwa walimu watakaobainika kujihusisha na mgomo huo hawatalipwa mishahara.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk...
JESHI la Polisi nchini, limesema linaendesha uchunguzi wa madai yaliyotolewa hivi karibuni na Wakili Mwandamizi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.