Wafanyakazi wote waunge mkono juhudi za kituo cha kutetea haki za binadamu (lhrc) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi wote waunge mkono juhudi za kituo cha kutetea haki za binadamu (lhrc)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwananchit, Jul 31, 2012.

 1. m

  mwananchit Senior Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 144
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Serikali inawakata wafanyakazi karibia 30% ya mapato yao ya kila mwezi kama kodi ya kichwa (PAYE) ili ijinunulie magari ya kifahari ya viongozi na pia matibabu nje ya nchi. Sasa serikali inataka kujipa mamlaka ya kumiliki na kutumia kadri ipendavyo, fedha za wafanyakazi wanazokatwa na kuingizwa kwenye mifuko ya jamii kiasi cha 20%. Kwa kifupi, serikali inataka kutia kibindoni nusu tya mshahara wa mfanyakazi (50%) wa kila mwezi badala ya kuangushia nguvu zake kwenye vyanzo vingine kama madini, utalii nk-HII DHULUMA HAIKUBALIKI.

  Naomba LHRC ianzishe account ya M-PESA au TIGO PESA ili wafanyakazi waweze kuchangia kidogo gharama za uendeshaji wa hiyo kesi.
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli hapo mkuu haitawezekana. Kweli unategemea mfanyakazi atoe pesa yake kuchangia watu waingize tena midomoni.
   
 3. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Fungueni account haraka tuchangie, Hawa majasusi humu JF tumeshawajua.
   
Loading...