Tuheshimu ngazi tulizotelemkia!!

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Wakwanza, wapili na watatu kwa ukaribu ni MAMA (Ngazi tulizotelemkia), BABA ni wanne. (Kuna mheshimiwa kasema bungeni na SPIKA kaunga mkono). Tuheshimu mama zetu jamani.
 
Join Date : 4th November 2011
Location : WHITE HOUSE
Posts : 663
Rep Power : 351
Likes Received : 159
Likes Given : 152

hapo kwenye red inawezekana ndipo panakufanya utuletee hii vipande vya taarifa au kuna lingine!? sema wakusaidie mkuu
 
Join Date : 4th November 2011
Location : WHITE HOUSE
Posts : 663
Rep Power : 351
Likes Received : 159
Likes Given : 152

hapo kwenye red inawezekana ndipo panakufanya utuletee hii vipande vya taarifa au kuna lingine!? sema wakusaidie mkuu

Sikiza Bunge wewe. Unapenda kudesa kila kitu. hapa unapewa hints tu.
 
Back
Top Bottom