Sugu anazungumza-hospitali huduma sio nzuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu anazungumza-hospitali huduma sio nzuri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jmura, Jul 31, 2012.

 1. j

  jmura Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 27, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anasema huduma za hospitali sio nzuri-hospitali za mikoa!!!
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kwa hapo taarifa ni nini? Sugu kuongea au huduma hospitali?
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mgomo unaoendelea kwa sasa kwenye hospitali zetu ni Mbaya kuliko ule LIVE ulivyokuwa. Mgonjwa wako akitakiwa vipimo lazima uende Private ambako bei ya kipimo ni ya juu kupindukia. CT-Scan tu ni 280,000. Na dr. hawezi kumtibu mgonjwa kama huna vipimo vitakavyomfanya ajue unachoumwa exactly.
   
 4. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Taarifa hapo ni "Sugu anaongea" Lol. Ingekuwa njema kama angefanya subira kidogo ili post iwe na nyama.
   
 5. Ngalangala

  Ngalangala JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  kazi yake ni kuongea mmhh
   
Loading...