Ufisadi wilaya ya chunya

Domy

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
4,700
1,086
UFISADI WA KUTISHA WILAYA YA CHUNYA

Kwenu viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA),tunaomba msaidie kuongelea wananchi wa wilaya ya chunya mkoani mbeya,kuna mtumishi wa halmashauri ya wilaya ya chunya ambaye ni afisa mifugo na kaimu mkuu wa idara ya kilimo katika halmashauri hiyo kwa jina anaitwa Adamu Mbare amekuwa akikusanya ng’ombe kwa wafugaji wa wilaya hiyo hasa vijijini kwa kisingizio cha kuwatibu.ili kukomboa ng’ombe aliyekamatwa unatakiwa ulipe shilingi elfu ishirini(20,000) kwa ng’ombe mmoja la sivyo anachukua ng’ombe huyo na kupeleka kwenye zizi lake lililopo nje kidogo ya mji wa chunya.Tunaomba mtusaidie kuusemea ufisadi huu ikiwezekana hata bungeni.ushahidi wa kutosha upo.

source:Waathirika Chunya
 
Back
Top Bottom