Kwako waziri wa afya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwako waziri wa afya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Moony, Jul 31, 2012.

 1. M

  Moony JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Rejea operation "Lowassa" ya shule za kata.
  Zahanati kila kata na kila kijiji inawezekana kabisa tatizo ni wafanyakazi.

  Solution:
  Kila mkoa ama wilaya jengeni vyuo vya elimu ya afya kwa ajili ya vijiji hivyo. Ni rahisi kupata wafanyakazi wa wilaya hiyohiyo kuliko kumtoa mtu Sumbawanga umpeleke QURUS Karatu.
  Acheni tamaa ya kujiongezea marupurupu na mishahara kwenu wabunge. Kila wabunge wa kila mkoa wanaweza endesha harambee kikajengwa chuo kimoja kitakacho train wafanyakazi wa afya wa ngazi za chini. otherwise kelele za zahanati kila kijiji ni wazo la KUFIKIRIKA tu. Think about it. Usiwe mwanasiasa; think and act like a DOCTOR in a professional perspective.
  Sail well!
   
Loading...