Tumepiga michanga ya macho ua afya mambo shwari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumepiga michanga ya macho ua afya mambo shwari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kizotaka, Jul 31, 2012.

 1. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii sikuielewa vizuri, jana Mh Mwinyi kasoma bajeti yake, hivi imepita bila kikwazo na madudu yote tuliyoyasikia mpaka madokta kugoma na dk uli kutekwa? Tumeshupalia walimu na wala rushwa bungeni. Hata hapa jamvini sijaona dodoso dodoso zozote juu ya bajeti hii ya afya. Au haina mvuto?
   
 2. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,284
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  teh teh teh..., hata ya tanesco na walimu ni upepo tu, utapita.
   
Loading...