Tanzania vicious circle

karim wade

Member
Apr 2, 2012
49
10
Napata wakati mgumu sana wa kufikiri kama kweli sisi wananchi na serikali yetu tuna dhamira ya kweli ya kutoka hapa tulipo kwa sasa na kuelekekea kwenye maendeleo ya kweli kwetu sisi wenyewe tunaoishi leo na kwa vizazi vyetu vijavyo. Nitatolea mfano mmoja barabara ya morogoro road ilitengenezwa kwa kiwango cha njia mbili miaka kama 12 iliyopita kwa kutumia billions of TAX PAYERS MONEY leo hii inabomolewa.

Swali ninalojiuliza wakati wanaplan kujenga hiyo barabara that time hawakoforsee kwamba population itaongezeka kiasi gani au matumizi ya barabara yataongezeka kwa kiasi gani? Je na leo tunapoongeza hiyo ya mabasi yaendayo kasi tumejaribu jiuliza after 10 years population na matumizi ya hiyo barabara yatakuwaje?

Au ndiyo tutabomoa tena na billions zetu ziwe zimepotea tena kama ambavyo izi za 12 years ago zilivyopotea. Kwa mtaji huu hatutafika kokote, Siamini kama hatuna hata plans za 50 years to come, zingetufanya tujenge hata njia sita but in phases tofauti tofauti lakini mwisho wa siku tukawa na kitu ambacho watatumia mpaka vutukuu vyetu ili wao wafikirie vitu vingine si barabara tena.
 
Rejea kauli hii. Ili nchi iweze kuendelea inahitaji kuwa na ARDHI, WATU, SIASA SAFI na UONGOZI BORA! Hapo kwenye red ndipo kwenye mgogoro. Bila miradi vigogo watakula wapi? Wataalamu wapo na pakujifunzia papo lakini wanasiasa wasio safi wanacreate hayo mambo makusudi ili baadae waje wapige fedha, sasa ukiwaambia wafanye miradi itakayodumu kwa miaka 50 hawawezi kukuelewa, si umeyasikia ya Tanesco?
 
Back
Top Bottom