Nimependa maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimependa maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lua, Jul 11, 2012.

 1. L

  Lua JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katika kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama cha CHADEMA kilichokaa juzi siku ya jumatatu, kilichoanza asubuhi na kumalizika saa tisa usiku, kilikuja na maazimio manne. Azimio la kwanza ni suala la operesheni sangara awamu ya pili yenye kauli mbiu 'hakuna kunywa, posho,wala kula hadi kieleweke' operesheni hii itakua katika mikoa mitano yaani Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara na Iringa na itaanza rasmi wiki ijayo na itakwenda majimbo 44, kata 806, vijiji 4000.

  Alisema operasheni hiyo itakuwa na ajenda za kitaifa zinazohusiana na malalamiko ya wananchi, operasheni hii itawahusisha wabunge na viongozi waandamizi wote wataongoza katika kufanya mashambulizi hayo.

  Azimio la pili ni kuhusu suala la maadili ndani ya chama, kamati kuu imeamua kutengeneza kanuni za kupinga rushwa katika uchaguzi wa ndani wa chama na nje ya chama ili kuepusha mtu kutumia fedha kupata uongozi kama ilivyo vyama vingine, kikiwemo chama cha mapinduzi (ccm).

  Azimio la tatu ni katika kutunga sheria hizo wametunga kanuni za kupima uwajibikaji wa wabunge, madiwani, wenyeviti wa mtaa na kijiji, ili mwisho kufanya tathmini ya kuendelea kumwamni ndani ya chama na kumpa nafasi tena au la.

  Azimio la nne ni kuhusu kamati kuu haioni sababu ya viongozi wake wakuu wanaotishiwa kuuliwa kuhojiwa na badala yake polisi ndio wanaotakiwa kufanya uchunguzi dhidi ya madai yao.


  source: magazeti ya leo
   
 2. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Chezea chadema weye
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  inawachoomaaa! wataipata mwaka huu,hadi waombe poo! tweny fifteen pataonekana kama miaka kumi from now,hizi sindano za moto kwelikweli
   
 4. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  VIVA kamati kuu VIVA CDM sijawahi juta kwanini naipenda CDM.
   
 5. B

  Baba Hellen JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 764
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Cadema chama chawatanzania mnaojitambua na magamba njoni cdm nanyi mtapewa nguvu ya uzalendo
   
 6. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Haya ndio mambo, napenda sana kusikia nikiwa hai.
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hii inaweza kuwa moja ya Sababu ya hawa watu kusemekana wanatakiwa kuuawa. Maana watu wengi walio madarakani huwa hawapendi kuhatarishiwa keki yao
   
 8. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  nimeipenda!
   
 9. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  viva cdm
   
 10. MAN OF CHANGES

  MAN OF CHANGES JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tunakiamini chama,tunawwamini na viongozi wetu wa chama.MUNGU AWAPE HEKIMA ZAIDI
   
 11. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Ndo mana naipenda chadema!!!
   
 12. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  T2015 CDM isome namba!!
   
 13. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  TZ2015 CDM isome namba!!
   
 14. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Inamaana mikutano ndo inaanza tena hivyo?? hii sio sawa aisee
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tumesikia..... tumekusoma
   
 16. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Sasa, hawataki kuhojiwa na polisi....Hii polisi uchunguzi wake itaanzia wapi pasipo kuelezwa japo fununu ya wapi pa kuanzia?!!!!!!!
   
 17. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  CDM Oyeee...! Iko bien
   
 18. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  ni maazimio murua...Songa mbele cdm!
   
 19. D

  Dabudee Senior Member

  #19
  Jul 12, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sasa watauwawa kweli
   
 20. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Imekaa vizuri na imetulia, kila la heri sana makamanda wote. Mwenyezi MUNGU awatangaulie na kuwalinda ktk mambo yote ya kweli na haki mtakayoyasimamia kila muendako. Truth and patriotism has thus far being distinguished factors between you (CDM) and ccm.

  Kauli mbiu hii ya 'hakuna kunywa, posho,wala kula hadi kieleweke' ikitekelezwa kwa vitendo itawafanya adui zenu wakose pa kujificha maana mtakuwa mnatakeleza na kuishi mnayoyaamini/mnayoyasema.
   
Loading...