Ikulu bado inadeni kwa watanzania kukanusha au kuwakana waliotajwa kuhusika na utekwaji wa uli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikulu bado inadeni kwa watanzania kukanusha au kuwakana waliotajwa kuhusika na utekwaji wa uli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GTMOJA, Aug 1, 2012.

 1. G

  GTMOJA Senior Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aiingii akilini kwa serikali kuendelea kukaa kimya na badala yake kulifungia gazeti la mwanahalisi kwa tuhuma za UCHOCHEZ hasa baada ya kutoa habari inaoelezea watu wanaosadikiwa ni wa ikulu kuhusika na utekwaji wa kiongozi wa madaktari ndg ULIMBOKA SILENCE MEANS YES
   
Loading...