Wananchi wa mbeya mjini kuweni macho na Norman Sigalla dc wa mbeya mjini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wa mbeya mjini kuweni macho na Norman Sigalla dc wa mbeya mjini.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by richone, Aug 1, 2012.

 1. r

  richone Senior Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  huyo mkuu wenu aliyekuja huko ni mtu wa hatari sana kwani mkizubaa ni lazima awalize. Gia yake kuu ni kutumia injili, ambapo anajiita mlokole ila ni mpiga dili ile mbaya.Kule Hai alijifanya anaithamini elimu akaanzisha mfuko wa elimu wa kujenga kidato cha tano na sita na hatimaye akakusanya fedha zaidi ya milioni mia nane na kuzitafuna. madiwani pamoja na mbunge wa Hai alipohoji juu ya fedha hizo alisema kumbukumbu kamili hana kwani data ziliifadhiwa kwenye computer na zimeliwa na virusi wajumbe walipoleta noma DC alianza kukwepa vikao hakuwahi kuonekana tena mpaka pale alipo hamishwa na alikuwa akimshutumu mengi kwamba aliahidi angtoa milioni mia lakini hakuzitoa. kwa taarifa hii nawasii sana hasa mbunge wa mbeya awe makini na huyo mtu ni mjanja sana anatabia ya kujiweka upande wako kumbe ndio anakuibia hivyo ni muhimu kuwa naye makini pia msimuamini hata kwa chembe moja.
   
 2. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Acha!Yaani Sigalla kawaibia pesa "wachaga",inawezekana vipi?Ha ha...watanzania tumezubaa kweli...kila kona fisadi anakwapua na kuishia!

  Sent from my BlackBerry 9650 using JamiiForums
   
 3. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kwa mbeya atanyooka
   
 4. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli watu waongo ni hatari duniani. Umeamka saa sita usiku kuzusha huu uongo wako!! Shame on you. Mbunge wa Hai ni Mh. saana na mwanamapinduzi F. Mbowe. Kwa akili yako unadhani Mbowe angeacha huu upuuzi wa wilaya kuibiwa Tshs. 800M?

  Hivi unaweza tutajia ni nani aliyechanga angalau 10M katika hizo 800M na analalamika? Usichafue watu kwa shutuma za uongo. Pesa hupokelewa kwenye computer? Waliotoa pesa hawakupewa stakabadhi? Si walete huo ushahidi wa stakabadhi kwa Mbunge ili mbunge alifuatilie!

  Unawatisha watu wa Mbeya ili wasimpe ushirikiano halafu Mbeya idolole!! Utadolola wewe, Mbeya wana akili timamu. Nina wasiwasi na mwandishi wewe usije ukawa unatumwa na wapinzani wake ili asigombee ubunge baada ya Mh. Dr Mahenge? Ushindwe na ulegee kabisa! Usithubutu kutudanya.
   
Loading...